Jesca Magufuli ametengenezewa jimbo la Katoro?

Kuna mwaka Hussein Bashe na Kigwangala nusura wauane wakigombea jimbo la Nzega.
Tume ya uchaguzi ikaamua ugomvi kidiplomasia,jimbo likagawanywa,Nzega mjini,Nzega vijijini,wilaya ikawa na majimbo matatu ukijumlisha na Bukene

Kuna mtu anaitwa Deus mkuu wa wilaya Tabora mzaliwa wa Chato,mfumo ulimuandaa awe mbadala wa Dk Kalemani,ghafla Jesca naye akaibuka analitaka jimbo,
Tume imeanzisha jimbo jipya la Katoro ambalo litachukua sehemu ya Busanda na Chato

Ukiacha hapo kuna jimbo jipya la Chato Kusini

Ndio kusema mkoawaGeita umepatiwa majimbo mapya mawili,kazi kwake Jesca

Huko kote jina la Magufuli linapendwa na kukubalika ni kama nyumbani.

Popote Jesca atakapochukua fomu hana mpinzani

CCM ina wenyewe
Jesca magufuli atagombea viti maalum mkoa wa geita na tayari jina limeshapitishwa
 
Aende akale ulaji
Awapigie kelele watu shida za maji,ukosefu wa vyoo vya kujisaidia nk

Ova
 
Hiyo inaitwa gusa twende kwao dadeki, hiyo ni trela tu movie bado haijaanza
 
Kuna mwaka Hussein Bashe na Kigwangala nusura wauane wakigombea jimbo la Nzega.
Tume ya uchaguzi ikaamua ugomvi kidiplomasia,jimbo likagawanywa,Nzega mjini,Nzega vijijini,wilaya ikawa na majimbo matatu ukijumlisha na Bukene

Kuna mtu anaitwa Deus mkuu wa wilaya Tabora mzaliwa wa Chato,mfumo ulimuandaa awe mbadala wa Dk Kalemani,ghafla Jesca naye akaibuka analitaka jimbo,
Tume imeanzisha jimbo jipya la Katoro ambalo litachukua sehemu ya Busanda na Chato

Ukiacha hapo kuna jimbo jipya la Chato Kusini

Ndio kusema mkoawaGeita umepatiwa majimbo mapya mawili,kazi kwake Jesca

Huko kote jina la Magufuli linapendwa na kukubalika ni kama nyumbani.

Popote Jesca atakapochukua fomu hana mpinzani

CCM ina wenyewe
Kalemani kawakosea nini?
 
Wanaendelea kugawana keki ya TAIFA bila kuleta tija yoyote.
 
Hapa mwisho umemalizia vizuri kiongozi- CCM INA WENYEWE...kama haupo kwenye CIRCLE ,andika maumivu
 
Kuna mwaka Hussein Bashe na Kigwangala nusura wauane wakigombea jimbo la Nzega.
Tume ya uchaguzi ikaamua ugomvi kidiplomasia,jimbo likagawanywa,Nzega mjini,Nzega vijijini,wilaya ikawa na majimbo matatu ukijumlisha na Bukene

Kuna mtu anaitwa Deus mkuu wa wilaya Tabora mzaliwa wa Chato,mfumo ulimuandaa awe mbadala wa Dk Kalemani,ghafla Jesca naye akaibuka analitaka jimbo,
Tume imeanzisha jimbo jipya la Katoro ambalo litachukua sehemu ya Busanda na Chato

Ukiacha hapo kuna jimbo jipya la Chato Kusini

Ndio kusema mkoawaGeita umepatiwa majimbo mapya mawili,kazi kwake Jesca

Huko kote jina la Magufuli linapendwa na kukubalika ni kama nyumbani.

Popote Jesca atakapochukua fomu hana mpinzani

CCM ina wenyewe
"Popote atakapochua fomu hana mpinzani" Kampeni tayari! Wagawe na Ikulu awe Rais wa Tanzania vijijini
 
Huyu Binti anatumika tu, namshauri kwa yaliyotokea aachane na siasa!
 
Back
Top Bottom