Jesca Magufuli ametengenezewa jimbo la Katoro?

Jesca Magufuli ametengenezewa jimbo la Katoro?

Kuna mwaka Hussein Bashe na Kigwangala nusura wauane wakigombea jimbo la Nzega.
Tume ya uchaguzi ikaamua ugomvi kidiplomasia,jimbo likagawanywa,Nzega mjini,Nzega vijijini,wilaya ikawa na majimbo matatu ukijumlisha na Bukene

Kuna mtu anaitwa Deus mkuu wa wilaya Tabora mzaliwa wa Chato,mfumo ulimuandaa awe mbadala wa Dk Kalemani,ghafla Jesca naye akaibuka analitaka jimbo,
Tume imeanzisha jimbo jipya la Katoro ambalo litachukua sehemu ya Busanda na Chato

Ukiacha hapo kuna jimbo jipya la Chato Kusini

Ndio kusema mkoawaGeita umepatiwa majimbo mapya mawili,kazi kwake Jesca

Huko kote jina la Magufuli linapendwa na kukubalika ni kama nyumbani.

Popote Jesca atakapochukua fomu hana mpinzani

CCM ina wenyewe
RIP Mwamba
 
Back
Top Bottom