Jesca Magufuli ametengenezewa jimbo la Katoro?

Kuna mwaka Hussein Bashe na Kigwangala nusura wauane wakigombea jimbo la Nzega.
Tume ya uchaguzi ikaamua ugomvi kidiplomasia,jimbo likagawanywa,Nzega mjini,Nzega vijijini,wilaya ikawa na majimbo matatu ukijumlisha na Bukene

Kuna mtu anaitwa Deus mkuu wa wilaya Tabora mzaliwa wa Chato,mfumo ulimuandaa awe mbadala wa Dk Kalemani,ghafla Jesca naye akaibuka analitaka jimbo,
Tume imeanzisha jimbo jipya la Katoro ambalo litachukua sehemu ya Busanda na Chato

Ukiacha hapo kuna jimbo jipya la Chato Kusini

Ndio kusema mkoawaGeita umepatiwa majimbo mapya mawili,kazi kwake Jesca

Huko kote jina la Magufuli linapendwa na kukubalika ni kama nyumbani.

Popote Jesca atakapochukua fomu hana mpinzani

CCM ina wenyewe
Kwakuwa mnasema lissu ndo anachukua nchi 2025, bila shaka atayafuta. Au?!!!
 
Kuna mwaka Hussein Bashe na Kigwangala nusura wauane wakigombea jimbo la Nzega.
Tume ya uchaguzi ikaamua ugomvi kidiplomasia,jimbo likagawanywa,Nzega mjini,Nzega vijijini,wilaya ikawa na majimbo matatu ukijumlisha na Bukene

Kuna mtu anaitwa Deus mkuu wa wilaya Tabora mzaliwa wa Chato,mfumo ulimuandaa awe mbadala wa Dk Kalemani,ghafla Jesca naye akaibuka analitaka jimbo,
Tume imeanzisha jimbo jipya la Katoro ambalo litachukua sehemu ya Busanda na Chato

Ukiacha hapo kuna jimbo jipya la Chato Kusini

Ndio kusema mkoawaGeita umepatiwa majimbo mapya mawili,kazi kwake Jesca

Huko kote jina la Magufuli linapendwa na kukubalika ni kama nyumbani.

Popote Jesca atakapochukua fomu hana mpinzani

CCM ina wenyewe
Watajua wenyewe no reforms no election
 
Great and deep thinking. This is the reality. Jesca ashindwe mwenyewe kuingia bungeni na kuteuliwa kuwa waziri wa TAMISEMI na hatimaye Waziri Mkuu. Kazi kwake.
 
Naam! Nadhani hujakosea.
Na hata kama atakosa huko,huenda Viti maalum hatakosa.
 
Safi sana huu ni ubunifu wa kuongeza fursa za ajira.Pale Arusha nako wafanye hivyo Watu wasigombane.
 
Kuna mwaka Hussein Bashe na Kigwangala nusura wauane wakigombea jimbo la Nzega.
Tume ya uchaguzi ikaamua ugomvi kidiplomasia,jimbo likagawanywa,Nzega mjini,Nzega vijijini,wilaya ikawa na majimbo matatu ukijumlisha na Bukene

Kuna mtu anaitwa Deus mkuu wa wilaya Tabora mzaliwa wa Chato,mfumo ulimuandaa awe mbadala wa Dk Kalemani,ghafla Jesca naye akaibuka analitaka jimbo,
Tume imeanzisha jimbo jipya la Katoro ambalo litachukua sehemu ya Busanda na Chato

Ukiacha hapo kuna jimbo jipya la Chato Kusini

Ndio kusema mkoawaGeita umepatiwa majimbo mapya mawili,kazi kwake Jesca

Huko kote jina la Magufuli linapendwa na kukubalika ni kama nyumbani.

Popote Jesca atakapochukua fomu hana mpinzani

CCM ina wenyewe

Chanzo cha habari plse
 
Safi sana huu ni ubunifu wa kuongeza fursa za ajira.Pale Arusha nako wafanye hivyo Watu wasigombane.
Gambo out,amekosea kujibizana na mteuke wa Rais,angekaa kimya tu,kujibizana na mteule ni kumkosoa aliyemteua
 
Kwahiyo hao akina Katwale, Maghembe na king'ang'anizi Kalemani wanagombea Jimbo lipi ili kumpisha Jesca?
 
Inaonekana we mwenyeji sana huku,Kalemani akirudi ni muujiza
Jimbo moja atapewa Jesca hao wengine watagombania yaliyobaki

Niko Bwanga hapa narekebisha bango la mama Samia limeangushwa na upepo
 
Back
Top Bottom