Tayari hiyo.Kuna mwaka Hussein Bashe na Kigwangala nusura wauane wakigombea jimbo la Nzega.
Tume ya uchaguzi ikaamua ugomvi kidiplomasia,jimbo likagawanywa,Nzega mjini,Nzega vijijini,wilaya ikawa na majimbo mataru ukijumlisha na Bukene
Kuna mtu anaitwa Deus mzaliwa wa Chato,mfumo ulimuandaa awe mbadala wa Dk Kalemani,ghafla Jesca naye akaibuka analitaka jimbo,
Tume imeanzisha jimbo jipya la Katoro ambalo litachukua sehemu ya Busanda na Chato.maeneo yanayotarajiwa kutengeneza jimbo jipya n Chato,buseresere,bwanga,rumasa,buziku nk
Huko kote jina la Magufuli linapendwa na kukubalika ni kama nyumbani.
Popote Jesca atakapochukua fomu hana mpinzani
Aha ha aha siasa raha ni.kuzawadiana tu helaKuna mwaka Hussein Bashe na Kigwangala nusura wauane wakigombea jimbo la Nzega.
Tume ya uchaguzi ikaamua ugomvi kidiplomasia,jimbo likagawanywa,Nzega mjini,Nzega vijijini,wilaya ikawa na majimbo mataru ukijumlisha na Bukene
Kuna mtu anaitwa Deus mzaliwa wa Chato,mfumo ulimuandaa awe mbadala wa Dk Kalemani,ghafla Jesca naye akaibuka analitaka jimbo,
Tume imeanzisha jimbo jipya la Katoro ambalo litachukua sehemu ya Busanda na Chato.maeneo yanayotarajiwa kutengeneza jimbo jipya n Chato,buseresere,bwanga,rumasa,buziku nk
Huko kote jina la Magufuli linapendwa na kukubalika ni kama nyumbani.
Popote Jesca atakapochukua fomu hana mpinzani
Huyo atapewa jimbo jipya la JFLucas Mwashambwa haja gaiwa jimbo ?
Labda anataka kulinda legacy..Jesca baba yake sikamuachia hela nyingi sana kwanini wanjibanza kwenye siasa.
Watoto ambao hawana majina hatuna chetu
Huyu amsubiri Shaabani Kisu amlazimshe kupiga makofi tu ndilo analo weza.Lucas Mwashambwa haja gaiwa jimbo ?
Tafadhali sana ,ambao hamjaoa , muhoeni uyu binti atulizane , mama Mwendazake alikua mwalim, so huyu binti atulize mshono , wenda Mungu alicho mpangia sio ichi anacho pambana nacho kukipitia mgongo wa baba yake alie kua juu, yampasa kupitia historia ya baba yake kwamba alifikaje juu.Kuna mwaka Hussein Bashe na Kigwangala nusura wauane wakigombea jimbo la Nzega.
Tume ya uchaguzi ikaamua ugomvi kidiplomasia,jimbo likagawanywa,Nzega mjini,Nzega vijijini,wilaya ikawa na majimbo matatu ukijumlisha na Bukene
Kuna mtu anaitwa Deus mkuu wa wilaya Tabora mzaliwa wa Chato,mfumo ulimuandaa awe mbadala wa Dk Kalemani,ghafla Jesca naye akaibuka analitaka jimbo,
Tume imeanzisha jimbo jipya la Katoro ambalo litachukua sehemu ya Busanda na Chato
Ukiacha hapo kuna jimbo jipya la Chato Kusini
Ndio kusema mkoawaGeita umepatiwa majimbo mapya mawili,kazi kwake Jesca
Huko kote jina la Magufuli linapendwa na kukubalika ni kama nyumbani.
Popote Jesca atakapochukua fomu hana mpinzani
CCM ina wenyewe
Upo Tz hii ya ccm? Utakua mgeni kutoka mashariki ya mbaliTafadhali sana ,ambao hamjaoa , muhoeni uyu binti atulizane , mama Mwendazake alikua mwalim, so huyu binti atulize mshono , wenda Mungu alicho mpangia sio ichi anacho pambana nacho kukipitia mgongo wa baba yake alie kua juu, yampasa kupitia historia ya baba yake kwamba alifikaje juu.
Halafu vitoto vya juzi tu, wengine wanaishia kupewa t shirts na khanga tuEndeleeni kuwa machawa wenzenu wanagawana majimbo
Sijui kama wanakuelewaEndeleeni kuwa machawa wenzenu wanagawana majimbo