Jerusalem kwa mujibu wa BBC

Huwa sielewi kwann manabii wote walikuwa wanajazana mashariki ya kati tu.
 

Suleiman hakujenga msikiti hata kidogo bali alijenga hekalu na lilijengwa na Suleiman kwa msaada was Mungu na sio majini, Muhamad alikua anatumia manabii wa kiyahudi ili apate kiki ya kukubalika ili aonekane kwamba yeye ni nabii wa kweli...ukiangalia kizazi chake kuanzia kwa Ishmael mpaka kwake hakuna hata chembe ya nabii aliyetokea huko... ndio maana akaenda kujenga al aqsa juu ya hekalu LA wayahudi na yeye ndio chanzo cha mgogoro wa huko
 
Wajinga Sana hao,,,anaiombea baraka nchi ambayo haina faida kwake,,wakati bibi yake yupo kule Mwarusembe anashindia mihogo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana kila siku tunasema bora utawaliwe vyooooote ila sio akili, aiseee utumwa wa fikra ni mbaya sana na unakula mind from generation to generation.

tena hakuna viumbe wabaya kama wayahudi kwa muafrica, sitasahau huyo waziri wao alivyowauwa our brothers and sisters walioenda kujitafutia riziki na akasema kabisa "Muafrica ni kama kansa akiingia lazima akatwe haraka kabla hajaenea..."
Na dunia ilikaa kimya hata haki za binadamu
leo eti wa sigimbi mwenzangu anasimamisha mishipa ya shingo na kumtetea muyahudi na kumtukuza eti chaguo la Mungu, how abt u?? chaguo la shetan au??

So sad and pathetic.

R.I.P BOB MARLEY.
 
Huu mgogoro wa Waislam, Wayahudi na Wakristo kuhusu Yerusalem unatoa majibu kama hizi imani tatu zinamwamini Mungu mmoja.

Vv
 
Hahaha
Sipendelei kushiriki kwenye thread kama hizi.
Lakini ndugu zetu wa ------- wanafikiri wayahudi ni ndugu zao wa karibu kabisa kuliko hat jirani zake, wakati wayahudi wenyewe wanajiona ni bora na watu wengine ni m**bwa na m*ny*ni 2, na hii imo katika dini yao.
 
Ndio nawasikitikia hapa, kuna mmoja anasema eti 'God bless Israel' lol
badala ya kuliombea taifa lake analiombea taifa asilokua hata na vinasaba nalo.... white na black wapi na wapi.
 

Wakristo unafikiri wao wanalitambua ilo, ,wao kutwa wanaomba Mungu aibariki israel, ,,Taifa Lao wanasahau kuliombea njaa zimewashika hadi mbele hawaoni,,,,wanashindia viwavi jeshi,,,,

kweli ngozi nyeusi ni mtihani
 
Ushabiki mwingine ni wa kijinga tu!nyinyi mlipotangaza mji wenu mkuu utakuwa dodoma mlimuuliza nani?mlitaka nani awakubalie?tunapoteza muda mwingi kwa mambo ya kipuuzi....kuna wengine wanadhani labda Mungu anaishi huko![emoji13] [emoji13] [emoji13] wengine wanadhani ni mji mtakatifu!huko kumejaa kila aina ya uchafu!Jerusalem hautuhusu!waachie wenyewe....tupambane na hali yetu!
 
Wakristo unafikiri wao wanalitambua ilo, ,wao kutwa wanaomba Mungu aibariki israel, ,,Taifa Lao wanasahau kuliombea njaa zimewashika hadi mbele hawaoni,,,,wanashindia viwavi jeshi,,,,

kweli ngozi nyeusi ni mtihani
Shida za ndugu zangu wa tz wanayo elimu katika kiganja chao lakini hawataki kuitumia kwa kuendeleza nchi yao. Wanafikiri wao wanapendwa saana na mayahudi. Wakati ukienda israel wayahudi weusi wako kwenye detention center kama wakimbizi. Na hao ni dini moja na kabila moja.

Na kwa myahudi hakuna dini anayoichukia kama ukristo.
 
Wenzio hawajui ilo,,wao kutwa na usemi wao MUNGU AIBARIKI ISRAEL " anashindwa hata kuliombea taifa lake baraka,, babu zake wanashindia mizizi huko matombo Morogoro, ,yeye anaiombea Baraka israel
 
Afadhali ya myahudi kuliko muislam![emoji106]
 
Hahahahaaa kakuvurugaeee
 
duh...hakuna kitu kama hiki.
 
Wayahudi hawamuamini Yesu, na wala hawatamuamini,wanamuita mtoto wa nje ya ya ndoa.
 
Wakristo na waislam wa Tanzania kwa ubora wenu mnarushiana matusi kwa ajili ya mji wa Jerusalem. Very great thinking
 
Mkuu,
Imekuwaje sasa hiyo kibla ikahamia Mecca toka Jerusalem? Ina maana kuna kibla mbili? sasa inakuwaje mnaelekea katika kibla moja wakati ziko mbili?
Wakati mtume Muhammad "saw" alipoanza ibada ya swala aliamrishwa na mwenyezi Mungu kuilekea Masjid Agsa (Jerusalem). Kama kibra. Baadaye mwenyezi mungu mwenyewe alimbadirishia kuwa aifanye Kibra kuwa Masjid Harram (Macca). Hata hivyo Msikiti wa Maka, Madina na huo wa Agsa ndiyo misikiti mitakatifu kwa majibu wa uislam.
 
Uhusiano uliopo ni kwamba kabla al kaaba(kibra) iliyopo sasa katika msikiti wa mecca ambapo waislam wanaenda kuhiji na ambapo ni eneo takatifu zaidi kaaba(kibra) ya mwanzo ilikuwa katika msikiti wa al aqsa huko Yerusalem.
Kwa hiyo kwa islam mji wa Jerusalem ni mtakatifu kidogo I mean unaburuza mkia kwa utakatifu kulinganisha na mitakatifu mingine miwili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…