Jerusalem bombed for the first time in decades by hamas!!!

Kabaridi

Kabaridi

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Messages
2,028
Points
1,170
Kabaridi

Kabaridi

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2011
2,028 1,170
Israel Update: Hamas Launches
Rockets At Holy City
ISRAEL
The Israel Project
Following a support visit to the
Hamas-controlled Gaza Strip by
Egyptian Prime Minister Hisham
Kandil, Palestinian terrorists fired
a rocket at the Israeli capital of
Jerusalem on Friday, sending
residents running for bomb
shelters. The rocket landed
outside the city, which is Israel’s
capital and largest city, and which
is holy to Jews, Christians, and
Muslims.
The attack marks a significant
escalation in the fighting
surrounding Israel’s Operation
Pillar of Defense, and analysts are
likely to link Hamas’s willingness
to risk widening violence to
backing it receives from Egypt
and other regional actors. Egypt’s
support for Hamas has put it at
odds with the United States.
Meanwhile Hamas Prime Minister
Ismail Haniyeh led a Gaza crowd
in chants of “Long Live Egypt”
today.
Hamas used social media to brag
that the missile with which the
group targeted Jerusalem, the so-
called M75, was an named after a
Hamas leader assassinated by
Israel in 2003, and that the 75
represents the missiles
75km-80km range. One of Israel’s
primary goals in Operation Pillar
of Defense is to degrade Hamas’s
arsenal of advanced weaponry,
which the terror group had been
using more and more often in the
weeks leading up to the operation.

www.jewishtimes.com/index.php/jewishtimes/news/jt/israel_news/israel_update_hamas_launches_rockets_at_holy_city/33371
 
Kabaridi

Kabaridi

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Messages
2,028
Points
1,170
Kabaridi

Kabaridi

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2011
2,028 1,170
Haya yote yakitendeka hakuna onyo kutoka Washington. Ina maana kuwa magaidi wamepata kiburi kubwa kutokana na ushindi wa Obama. Obama ajifanya kipofu na ikumbukwe Iran wamekamilisha kujenga centrifuges za nyuklia...hapa kuna hatari. Hapa samahani ndio ubabe wa vita dhidi ya ugaidi ya Republicans huitajika na sera zao za isreal. Wakati huu tunajua Romney angeteuliwa rais, Iran tunavyoongea ingekuwa nchi tambarare. Lakini hio sio hali.
 
Mpitagwa

Mpitagwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2012
Messages
2,344
Points
1,500
Age
44
Mpitagwa

Mpitagwa

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2012
2,344 1,500
Hamas nao ni watu kama mimi na wewe. Hamas wanapigania nchi yao. Waisrael ni waonezi wanavamia ardhi ya wapalestina na hawataki makubaliano. Iran nao ni taifa huru kama Israel, kama Pakistan, Kama India hivyo wanahaki ya kuwa na silaha za nyukria. Mnaotegemea kuwa siku moja marekani itakuwa kutoa mapendekezo ya haki mashariki ya kati mnaota. Marekani yenyewe inaendeshwa na wayahudi hivyo hawawezi kujigeuka. Kila wanapokutana watu mhimu marekani lazima zaidi ya nusu wanaasili ya uyahudi au ni wayahudi kabisa. Hivyo marekani sio ya kutegemewa kwenye mgogoro huu mkongwe duniani. Tatizo lingine ni la serikali za waarabu kuwapa hela wayahudi kwa njia ya kununua silaha toka marekani wakati viwanda vyote vya silaha marekani ni vya wayahudi. I believe Mungu ni wetu sote ipo siku mtashangaa Israel na marekani yake yatawashinda.
 
M

mkenya1987

Member
Joined
May 11, 2012
Messages
54
Points
95
M

mkenya1987

Member
Joined May 11, 2012
54 95

Please who started the bombings anyway only a fool goes to play at a beehive expecting not to be stung.People who defend Hamas always forget to consider that there are also Israeli civilians being injured and sometimes killed.The Hamas terrorist always attack civilian populations in Israel with there rockets and when they are killed in retaliation by the gallant mossad death squad they always run to the media claiming that they are the victims. Even lebanon was bombed when they started sh*t and were taught a very painful lesson. As for the Americans who you so hate they are usually back stabbers. Did you know that the CIA in the 70's nad 80's was secretly funding and training the PLO and lying to the Israelis these was the period when they were bombings every now and then in Israel. who is to say that the very same Americans are not doing the same thing today.

You talk about Hamas being freedom fighters what if Uamsho or MRC acquired weapons(rockets) and started firing them into Tanzania mainland or into Nairobi. would you say they are freedom fighters or terrorist. If you think killing innocent people makes you a freedom fighter then the IRA,M23,ETA and Alshabab are all freddom fighters.
 
Wingu

Wingu

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Messages
4,324
Points
1,225
Wingu

Wingu

JF-Expert Member
Joined Jan 14, 2011
4,324 1,225
Wacha wapigwe nao wapate akili kidogo mbavu zao.Hezbulah ndo kiboko yao
 
babukijana

babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Messages
5,710
Points
2,000
babukijana

babukijana

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2009
5,710 2,000
Majibu ya muisrael sasa hapo ataua mpaka bata huko palestina we ngoja
 
Kabaridi

Kabaridi

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2011
Messages
2,028
Points
1,170
Kabaridi

Kabaridi

JF-Expert Member
Joined Nov 15, 2011
2,028 1,170
Hamas nao ni watu kama mimi na wewe. Hamas wanapigania nchi yao. Waisrael ni waonezi wanavamia ardhi ya wapalestina na hawataki makubaliano. Iran nao ni taifa huru kama Israel, kama Pakistan, Kama India hivyo wanahaki ya kuwa na silaha za nyukria. Mnaotegemea kuwa siku moja marekani itakuwa kutoa mapendekezo ya haki mashariki ya kati mnaota. Marekani yenyewe inaendeshwa na wayahudi hivyo hawawezi kujigeuka. Kila wanapokutana watu mhimu marekani lazima zaidi ya nusu wanaasili ya uyahudi au ni wayahudi kabisa. Hivyo marekani sio ya kutegemewa kwenye mgogoro huu mkongwe duniani. Tatizo lingine ni la serikali za waarabu kuwapa hela wayahudi kwa njia ya kununua silaha toka marekani wakati viwanda vyote vya silaha marekani ni vya wayahudi. I believe Mungu ni wetu sote ipo siku mtashangaa Israel na marekani yake yatawashinda.

mkenya1987 thanks for reminding us how hypocritical the American leftwing politics can be. I remember very well the slogan yes we can did not originate with Obama, The same poster with that slogan was seen with Clinton and Arafat in Palestine shortly b4 his demice.

@mtapigwa saying that "I believe mungu ni wetu so wote" is a fallacy. We are not all equal before the eyes of God, and it can b proven because there is a massive group of Pple reserved for darkness and destruction and another group for Light and eternal life. Therefore, the equality factor here before God is imprecise.

Be assured the intensive scattering of the chosen Pple of God from their land was accomplished as prophesied and so will their resettlement in Palestine be accomplished as prophesied with equal intensity. For long Palestine have dwelt on Israel's land and it is time to move out that the rightful people can occupy their ancestral land.
 
Last edited by a moderator:
Root

Root

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
30,023
Points
2,000
Root

Root

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
30,023 2,000
Israel kasema kuwa kama Hamas waki ipiga Tel Aviv basi wao wataifuta Palestine
 
mopaozi

mopaozi

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Messages
3,308
Points
1,250
mopaozi

mopaozi

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2010
3,308 1,250
Hamas wanafki sana wanauza unga kwa mgongo wa vita
 
Root

Root

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
30,023
Points
2,000
Root

Root

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
30,023 2,000
Sasa kwani mm ndio hiyo Israel? Mimi nimeandika alichosema defence minister wao
 
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Messages
11,548
Points
2,000
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2008
11,548 2,000
Soma hitsoria Mkuu. Soma kuanzia kuja madarakani kwa Hitler na ubabe wake. Soma Wayahudi walipoanza kwenda PALESTINA na kuvamia eneo la Waarabu. Soma nchi ya Izrael imeanza lini na kwa nini Palestina kama nchi, haipo leo hii.

Ni tatizo kubwa sana na solution si kuanza kulaumu who started. Do you know who started?

Ukweli siku zote upo katikati. Wayahudi ni watu na Wapalestina ni watu pia. Hilo eneo ni tatizo kubwa sana ambalo halijaanza leo. Ni tatizo ambalo limeanza hata USA haijawa NCHI. Angalia film ya KINGDOM of HEAVEN na ndiyo utaelewa tatizo ni kubwa kiasi gani. Kuja hapa na kujifanya unajua sana historia kwa kutuwekea hizi habari unazosikia CNN hakutusaidii sana. Wahaya wanasema "Usijigambe mbele ya Wagambirwa."
Please who started the bombings anyway only a fool goes to play at a beehive expecting not to be stung.People who defend Hamas always forget to consider that there are also Israeli civilians being injured and sometimes killed.The Hamas terrorist always attack civilian populations in Israel with there rockets and when they are killed in retaliation by the gallant mossad death squad they always run to the media claiming that they are the victims. Even lebanon was bombed when they started sh*t and were taught a very painful lesson. As for the Americans who you so hate they are usually back stabbers. Did you know that the CIA in the 70's nad 80's was secretly funding and training the PLO and lying to the Israelis these was the period when they were bombings every now and then in Israel. who is to say that the very same Americans are not doing the same thing today.

You talk about Hamas being freedom fighters what if Uamsho or MRC acquired weapons(rockets) and started firing them into Tanzania mainland or into Nairobi. would you say they are freedom fighters or terrorist. If you think killing innocent people makes you a freedom fighter then the IRA,M23,ETA and Alshabab are all freddom fighters.
 
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Messages
11,548
Points
2,000
Sikonge

Sikonge

JF-Expert Member
Joined Jan 19, 2008
11,548 2,000
Mkuu, yaani Maneno ya WANASIASA unayameza mazima mazima?

Ni sawa na Maboxer kabla ya ngumi utasikia wanasema "nitamchakaza kabisa" ila zikiisha, wanatoka wazima na sanasana manundu tu usoni. Ni vitisho vya kawaida sana. Hamas siyo tishio kwa Izrael na tishio kubwa lipo IRAN. Netanyahu alifanya makosa sana kujiingiza moja kwa moja kwenye UCHAGUZI wa USA. alitegemea Obama ataogopa vitisho vyake na hili litawagharimu sana Izrael. Sasa hivi USA watu wameshaona kuwa "unaweza kumdindia PM wa Izrael na ukashinda Urais."

Izrael lazima wakae na walijadili hili swala bila kutumia maguvu. Muda unavyokwenda, kuna siku wao ndiyowatajikuta wanafutwa ardhini.

BTW: Nimeipenda SAHIHI YAKO: Kuongoza JAMII si kumtawala MKEO.
Sasa kwani mm ndio hiyo Israel? Mimi nimeandika alichosema defence minister wao
 
Root

Root

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
30,023
Points
2,000
Root

Root

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
30,023 2,000
Kwahiyo unataka niambia USA hayuko upande wa Israel?
White House imetetea Israel kuwa ina haki ya self defence hadi hapo inaonesha ipo upande wake
 
Mpitagwa

Mpitagwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2012
Messages
2,344
Points
1,500
Age
44
Mpitagwa

Mpitagwa

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2012
2,344 1,500
Please who started the bombings anyway only a fool goes to play at a beehive expecting not to be stung.People who defend Hamas always forget to consider that there are also Israeli civilians being injured and sometimes killed.The Hamas terrorist always attack civilian populations in Israel with there rockets and when they are killed in retaliation by the gallant mossad death squad they always run to the media claiming that they are the victims. Even lebanon was bombed when they started sh*t and were taught a very painful lesson. As for the Americans who you so hate they are usually back stabbers. Did you know that the CIA in the 70's nad 80's was secretly funding and training the PLO and lying to the Israelis these was the period when they were bombings every now and then in Israel. who is to say that the very same Americans are not doing the same thing today.

You talk about Hamas being freedom fighters what if Uamsho or MRC acquired weapons(rockets) and started firing them into Tanzania mainland or into Nairobi. would you say they are freedom fighters or terrorist. If you think killing innocent people makes you a freedom fighter then the IRA,M23,ETA and Alshabab are all freddom fighters.
Just one question at this level. Who has the right to define who is a terrorist and who is a freedom fighter?
 
Edzeame

Edzeame

Senior Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
183
Points
0
Age
43
Edzeame

Edzeame

Senior Member
Joined Aug 8, 2012
183 0
Watu wakatafute ushauri wa kutosha kuhusu historia ya Israel. Uzembe huu kutojua au kutaka kujua ukweli ndio unaleta migogoro bure. Kusema hitler alizaliwa hata kabla ya nchi ya Israel ni upuzi mtupu na ajabu watu ni wapuzi kiasi ya kutojua historia yake halisi.

Do not limit us to the history of hitler's period. Israel has been very perseverant of the hypocracy of neighbouring middle east states and has been forced to co-exist with Terrorism forces PLO hamas M75 in the name of democracy. Egypt Iran or Palestine will never win against Isreal. They have tried before ans failed. They will now attempt to try again but will fail.

Isreal is one of the oldest nations in the history of the world. Hebrew religion is one of the oldest forms of religion, older than other religion..
 
Forum statistics

Threads 1,295,168
Members 498,180
Posts 31,202,138
Top