Jerry Silaa: Nimetoa siku saba ghorofa liwe limebomolewa

Jerry Silaa: Nimetoa siku saba ghorofa liwe limebomolewa

Hapa nnachookiona ni mmiliki kulipwa Mabilioni ya Shilingi tu !

•Anakibali halali cha ujenzi
•Ubora wa jengo haupimwi kwa macho
•Waliompatia kibali cha kujenga zaidi wapo chini ya Mamlaka ya Mama Anna Tibaijuka, Amewasaka ?
•Badala ya kutoa matamko angesaidiana na mamlaka husika kusafisha Uozo wa kutoa vibali " blindly " katika Bodi yake ya Ukandarasi

Kwa kuwa Mama Tibaijuka ni member (tena halali kabisa) humu jamvini tunakuomba uje ujibi haya maswali mepesi!
 
Kumbe bado halijavunjwa mbona walisema ni hatari hata kwa wapita njia na majirani kwa hiyo hatari ilishaisha tunangoja maelekezo from all the authority ama hakuna mkubwa mwenye mamlaka? Mrema lyatonga uko wapi babangu?? Inchi unaiona???
 
Ameshindwa kulivunja waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya makazi Prof. Anna Tibaijuka sembuse meya wa manispaa?

Nachokiona hapa ni kwa Jerry Silaa kujaribu kupata coverage ya magazeti tu kwamba na yeye yuko ofisini kwakuwa muda mrefu hajasikika.
 
Last edited by a moderator:
Nchi hii kwa matamko na amri ambazo hazitekelezwi haijambo
Nafikiri na yeye kijana katoa tamko bana ili watu wajue nae yupo na ana mamlaka
 
Jengo hilo litavunjwa but siyo leo au kesho. Kama ni tajiri wa kuaminika ni ndoto kuvunja ghorofa lake maana unaweza kuta mapesa yake nayo yalitumika kutengeneza kofia na tshirt za 2015.
 
Kajamaa nako kanataka kuonekana kwenye luninga kametoa agizo..
 
Kumbe bado halijavunjwa mbona walisema ni hatari hata kwa wapita njia na majirani kwa hiyo hatari ilishaisha tunangoja maelekezo from all the authority ama hakuna mkubwa mwenye mamlaka? Mrema lyatonga uko wapi babangu?? Inchi unaiona???

Wanasubiri liue ili Mkuu wa mka aanze kupokea rambi rambi na misaada.
 
Who is the boss?.

How many 'Formal statement', Orders and Ultimatum are needed to take the GHOST SHIT out of place.

I can't see the sense in issuing order while awaiting 'report' from recycled decision.

From The Minister for Human Settlements, Housing and Urban Affairs to
Parliament committe for Lands, Natural Resources and Environments and now, ILALA Municipal Mayor, Jerry Silaa.

Rushwa inapokomaa katika jamii au taasisi huwa inakuwa na tabia ya kutokuona aibu kwa lolote ile lililoko mbele yake.

Mojawapo ya mbolea ya Rushwa ni jamii au viongozi wake kuwa legelege katika maamuzi na utendaji.

Uzuri au ubaya wa rushwa haionekani kwa macho bali huwa inajidhihirisha katika matendo.

Matendo ya viongozi wetu katika swala hili yanadhihirisha kuwepo kwa rushwa ambayo imefikia kiwango cha kutokuona aibu.

This is embarrassing kwa Anna Tibaijuka Mb.
Hilo ghorofa lisipobomolewa itakuwa disaster kwa uongozi.

Kwa nini tuhatarishe maisha ya ndugu zetu?
 
Back
Top Bottom