Jerry Silaa kupelekwa Bungeni na Karandinga ya Polisi, mashtaka yake kuongezeka hadi kuwa matatu

Jerry Silaa ambaye ni mheshimiwa mbunge wa ukonga kwa tiketi ya CCM, leo saa 4 asubuhi anatazamiwa kuletwa mbele ya kamati ya maadili ya bunge akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi.

Aidha, mashtaka ya Jerry Silaa sasa yatakuwa matatu

1. Kusema uongo

2. Kuvunja heshima ya Bunge

3. Kudharau wito wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge

Ngoja tuone.

Updates;
perepeche tu hizo, CCM ni ukoo mmmoja wa panya, wanazidiana ndevu tu ila ni kitu kimoja.
 
Ili kukata mzizi wa fitna, Jerry aweke wazi salary slip yake. Asipofanya hivyo tutaamini alikuwa anafanya usanii tu.

Amandla...
Kodi ni swala mtambuka Jerry Slaa hajasema wabunge hawalipi PAYE, uwe unaelewa bwashee!

Kuna mambo ya exemptions nk....nk!
 
Nipo na Jerry, yaani kuhojiwa na watu ambao uwezo wao wa akili ni mdogo huwa ni kazi kubwa mno, hata hivyo nampa pongezi Jerry kwa uvumilivu wake kuyamaliza mahojiano ya siku ya awali - Jerry usiende tena !!
 
Jerry Slaa tangu alipopata kura yangu kati ya nyingi nyingine alizopata kupitia ushawishi wa JPM hajaonekana huku jimboni kwake ambapo kuna kero nyingi tu tena za miaka mingi.

Kama ataadhibiwa na Spika kwa kutoa siri kuwa wabunge hawalipi kodi na yeye kama sisi anaamini kuwa kwenye mapato ya mbunge, kodi hata kama wanalipa ni kidogo, ukilinganisha na mwananchi anavyokamuliwa, ni bora ajiuzulu tu hiyo nafasi awaachie wale wasioona taabu kuwa wanafiki.

Jimbo hili hata hivyo halikuwahi kuwa na mbunge. Ni uchochoro tu wa Watu kujinufisha.
acha upumbavu, Jerry anapaswa kujenga barabara na kutatua kero?
Unajua majukumu ya serikali na majukumumya mbunge?

MATAGA mna funza kichwani.
 
Jerry Silaa ambaye ni mheshimiwa mbunge wa ukonga kwa tiketi ya CCM, leo saa 4 asubuhi anatazamiwa kuletwa mbele ya kamati ya maadili ya bunge akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi.

Aidha, mashtaka ya Jerry Silaa sasa yatakuwa matatu

1. Kusema uongo

2. Kuvunja heshima ya Bunge

3. Kudharau wito wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge

Ngoja tuone.

Updates;
HOJAA HAIPINGWI NA NYUNDO

BUNGE MTAELEWA TU KODI MTALIPAA
 
Ukoo wa panya haa haa hawataki kulipa kodi, wanakuwaga wakali hao acha tu.
 
Mshahara 4.6M unakatwa kodi lakini zile milioni 8 zingine hazikatwi kodi
Lazima na hizo zingine zikatwe kodi. Any income/earning lazima ikatwe kodi. PAYE means "Pay As You Earn" sasa mbona hizo earnings zingine wanakwepa kodi. Haya machungu ya PAYE lazima wote tuyaonje. Wanapika wao halafu hawali, lazima tule wote.
 
Anza na mshahara wa Rais huo hata mia haukatwi na huku anajiita mzalendo
 
Kodi ni swala mtambuka Jerry Slaa hajasema wabunge hawalipi PAYE, uwe unaelewa bwashee!

Kuna mambo ya exemptions nk....nk!
Si ndio maana aweke wazi pay slip yake ili watu wajue hazungumzii PAYE. Na aweke wazi kodi zipi ambazo wabunge wanasamehewa kama wabunge.

Amandla...
 
Kuhojiwa na Kamati hakuhitaji kwenda na mwanasheria, kwasababu hii sio mahakama ni just a quasi judicial body na ilipaswa kuishia kwa wabunge tuu. Hii ya Bunge kuwahoji watu nje ya Bunge kama mimi nilivyo itwa ni kinyume cha justice system yetu!.
Bunge limejiinua mno hadi masikio kutaka kushinda kichwa!.
P
Karipoti kituo chochote cha polisi kilicho jirani

Waambie ndugai ameagiza nifike hapa

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
acha upumbavu, Jerry anapaswa kujenga barabara na kutatua kero?
Unajua majukumu ya serikali na majukumumya mbunge?

MATAGA mna funza kichwani.
Sasa mpumbavu hapa ni nani kama sio wewe usiyejua uhusiano uliopo kati ya Bunge na Serikali. Halafu fafanua kwanza maana ya MATAGA ieleweke kwa wote ili uwezo wako wa kufikiri upimwe kabla hujabatizwa jina kwa kuandika kilugha.
 
Kuhojiwa na Kamati hakuhitaji kwenda na mwanasheria, kwasababu hii sio mahakama ni just a quasi judicial body na ilipaswa kuishia kwa wabunge tuu. Hii ya Bunge kuwahoji watu nje ya Bunge kama mimi nilivyo itwa ni kinyume cha justice system yetu!.
Bunge limejiinua mno hadi masikio kutaka kushinda kichwa!.
P
Uswazi, hakuna kitakachoendelea bila lawyer wako. Hata kama ni internal matter. Ndiyo maana hakuna ujinga ujinga kama wa kwetu.
 
Back
Top Bottom