Jerry Silaa kupelekwa Bungeni na Karandinga ya Polisi, mashtaka yake kuongezeka hadi kuwa matatu

Hizi movie zenu za kipumbavu kuhamisha attention za watu mtaacha lini?
Wabunge wanatakiwa walipe Kodi. Na mtu anayeliongelea hilo inabidi apewe support hata kama si wa chako.
Ukisema unahamishwa kwenye attention yako, hapo ulipo mpaka sasa ume-achieve nini kwenye hiyo attendion uliyopo?!
 
Nadhani Pascal Mayalla anayo nakala yake lakini sina hakika!
Maamuzi ya Kamati ya Bunge hutolewa na Bunge na hakuna nakala kwasababu uamuzi wake ni uamuzi wa mwisho, final and conclusive. Umuhimu wa nakala ya hukumu ni kama hujaridhika na anataka kukata rufaa.
Uamuzi wa Kamati ya Bunge kwa wasio wabunge ni typical kangaroo court.
P
 
Bahati mbaya hatuna bunge tuna kusanyiko la waharifu
1630057804616.png

HAWA NDIYO WABUNGE WAAMINIFU NCHI HII

2878995_images_9.jpeg
 
Huwa wanaenda kama mashahidi na siyo watuhumiwa ndio maana hawaruhusiwi kuwa na mawakili.

Spika ndio anawashtaki na wao huenda kutoa ushahidi wao kwenye kamati kisha ripoti hupelekwa kwa Spika ambaye hutoa maamuzi ya mwisho.
What? unasema kweli? Spika ndiye anatoa maamuzi ya mwisho! Na spika mwenyewe ni Ndugai? Ndipo yanatokea maamuzi ya mwisho? Inabidi waTanzania tukiri na kukubali kuwa hapa tulipo.
 
Huwa wanaenda kama mashahidi na siyo watuhumiwa ndio maana hawaruhusiwi kuwa na mawakili.

Spika ndio anawashtaki na wao huenda kutoa ushahidi wao kwenye kamati kisha ripoti hupelekwa kwa Spika ambaye hutoa maamuzi ya mwisho.

Crap! Unasema hata shahidi hawezi kuongozwa na wakili kutoa ushahidi wake? Ndio kusema hujasikia shahidi akihojiwa na wakili wa utetezi au mashtaka? Acha uzandiki.

Sababu ya kutokuwa na shahidi inaweza tu kuwa ni sheria ya ndani ya Bunge. Kama ni hivo ungeiweka hivo.
 
Uliona wapi shahidi anakwenda na " wakili" wake mahakamani?

Unataka kuniambia Ole sabaya na igp watakapoenda mahakama kuu kumtetea Freeman Mbowe watakwenda na mashahidi wao?!!!
 
Wabunge wanatakiwa walipe Kodi. Na mtu anayeliongelea hilo inabidi apewe support hata kama si wa chako.
Ukisema unahamishwa kwenye attention yako, hapo ulipo mpaka sasa ume-achieve nini kwenye hiyo attendion uliyopo?!
Naona haujanielewa na pengine hujui michezo ya CCM

Huyo Jerry angetuonesha kwa mfano kama ana nia ya dhati kulipa kodi why anaendelea kupokea mshahara usiokatwa kodi?

Yani sauti ya 1 kati ya 100+ unasema hii issue ni serious? Hapo ni spinning mnafanyiwa.

I will be joining that movement endapo hao kijani 50 tu wakiraise hii issue otherwise just stay on your lane!
 
Sasa mpumbavu hapa ni nani kama sio wewe usiyejua uhusiano uliopo kati ya Bunge na Serikali. Halafu fafanua kwanza maana ya MATAGA ieleweke kwa wote ili uwezo wako wa kufikiri upimwe kabla hujabatizwa jina kwa kuandika kilugha.
MATAGA ni genge lililozaliwa 2015 kusifia kila kitu ikiwapo vifo vya wapinzani.
MATAGA wapo tu, na sasa wamejiongeza wamekuwa SUKUMA GANG
 
Jerry Silaa ambaye ni mheshimiwa mbunge wa ukonga kwa tiketi ya CCM, leo saa 4 asubuhi anatazamiwa kuletwa mbele ya kamati ya maadili ya bunge akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi.

Aidha, mashtaka ya Jerry Silaa sasa yatakuwa matatu

1. Kusema uongo

2. Kuvunja heshima ya Bunge

3. Kudharau wito wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge

Ngoja tuone.

Updates;
Hembu hii Kamati ya Bunge iache maloloso.....badilisheni sheria na muanze kulipa Kodi zote kama waajiliwa wengine wowote. Nyakati zimebadilika sana.

Wakimaliza hilo waje pia kwenye Sheria ya Kuwahudumia Wastafu (Rais, Makamu, Waziri Mkuu), pesa nyingi sana inapotea huko. Hao wote walipata hizo nafasi kwa ridhaa zao, hakuna Mwananchi aliyewatuma.
 
Wanasiasa haswa wa nchi za Africa wanauelewa dhaifu sana wa maana ya kuwa viongozi wa nchi. Hujitoa ufahamu ya kwamba wao ni binadamu wa kawaida baada ya kupata uongozi. Utashangaa mtu anatunga sheria wananchi walipe kodi na kukadiria kiwango lakini yeye mwenyewe anajitoa kwenye hiyo kodi anayodai kwamba inakusanywa ili kujenga nchi. Lakini akiugua yeye apate huduma nzuri na ya hali ya juu, barabarani akipita wale wanaolipa kodi wanapigiwa ving'ora wakae pembeni apite yeye kwanza asiyelipa kodi.
 
Naona haujanielewa na pengine hujui michezo ya CCM

Huyo Jerry angetuonesha kwa mfano kama ana nia ya dhati kulipa kodi why anaendelea kupokea mshahara usiokatwa kodi?

Yani sauti ya 1 kati ya 100+ unasema hii issue ni serious? Hapo ni spinning mnafanyiwa.

I will be joining that movement endapo hao kijani 50 tu wakiraise hii issue otherwise just stay on you lane!
Sasa akikatwa itaingia mfuko gani?
Ataachaje pesa anayolipwa kisheria?
Kitendo cha kupaza sauti tayari ameonesha nia njema
 
Jerry Silaa ambaye ni mheshimiwa mbunge wa ukonga kwa tiketi ya CCM, leo saa 4 asubuhi anatazamiwa kuletwa mbele ya kamati ya maadili ya bunge akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi.

Aidha, mashtaka ya Jerry Silaa sasa yatakuwa matatu

1. Kusema uongo

2. Kuvunja heshima ya Bunge

3. Kudharau wito wa Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge

Ngoja tuone.

Updates;
haooooooo!!!! walipe kodiiiiiiiii!!!!!! ukweli unakerketaaaaaaaa!!!!!! ukweli unaumaaaaaaaaa!!!!! wameshikwa penyewe, haooooooo!!!! walipe kodi hao.
 
Wanasiasa haswa wa nchi za Africa wanauelewa dhaifu sana wa maana ya kuwa viongozi wa nchi. Hujitoa ufahamu ya kwamba wao ni binadamu wa kawaida baada ya kupata uongozi. Utashangaa mtu anatunga sheria wananchi walipe kodi na kukadiria kiwango lakini yeye mwenyewe anajitoa kwenye hiyo kodi anayodai kwamba inakusanywa ili kujenga nchi. Lakini akiugua yeye apate huduma nzuri na ya hali ya juu, barabarani akipita wale wanaolipa kodi wanapigiwa ving'ora wakae pembeni apite yeye kwanza asiyelipa kodi.
Tuna viongozi wa ajabu ajabu sana.
 
Back
Top Bottom