bandu bandu
JF-Expert Member
- Sep 7, 2013
- 2,747
- 874
Yaani JK kweli ni chiboko yao, huyu jamaa ni msanii na anajuwa haswa kulostisha watu. Mawaziri wake wote wamesahaulika kwa muda mfupi tu, wengine wanazidi kukesha kwa waganga kupinga matokeo ya ubunge majimboni mwao ili wabahatishe kuchaguliwa tena uwaziri. Kikwete oyeee, sambaratisha babake.
Alikuwa mfuasi mtiifu kwa lowassa,alipinga waziwazi kukatwa kwa lowassaMimi ni moja ya watu ambao niliamini kijana huyu alie wahi kuwa Meya wa Ilala angechomoza na kutamalaki katika hawamu hii ingawa alikosa ubunge jimbo la Ukonga, swali langu kubwa nikipi hasa kimempoteza haraka kijana huyu kwenye ulingo wa siasa?Maana baada ya kukosa ubunge wengi tulitegemea atachomoza kwenye uRC na uDC.
Acha apumzike ajifunze kuwa na nidhamu kwa wote waliokuzidi umriSupport aliyokuwa nayo Jerry haikua ya kitoto ndio ilimpa kiburi.
yule hata mie nimefurahi kukalia benchi,alikuwa mjivuni sana.Kama yule aliyekuwa tamisemi kapotezwa mbaya,ila ki ukweli hakuwa na sifa hata chembe,sasa hivi anahangaika tu bungeni na ushungi wake
Kwani wanagombania au wanagombea?Hivi Sophia Simba atagombania tena uwenyekiti?
watavuna walichopandaMkuu nmepata kusikia stivu nyerereee yule msanii anasema
"ambao hatukuokota nao kuni ndo wameenda kuota moto"
statement kali sana hiyo...mana jamaa walikuwa kama majuha majukwaani wakitegemea return
husna alimwangusha kafulila ama alimuibia kafulilaJerry Slaa
Mama Sofia Simba
Dr Nchimbi
Ndiyo walio ongoza mgomo ktk sekretarieti Kuu kupinga kuenguliwa jina la Lowassa bila kupigiwa kura!
Watu hawa watatu hawatakiwi kabisa ndani ya CCM kwa sasa
Mama Simba atakatwa kuwania uenyekiti wa Wanawake CCM ili asiingie Bungeni mwaka 2020!Husna Mwalima Mbunge aliyemuangusha Kafulila Kigoma ndiye atachukua nafasi yake
Mwanaume unatakiwa ukipiganie unachokiamini mpaka mwisho Jerry alifanya vizuri sana akuwa mnafiki Na chama alikipigania vizuri sana alipata Kura nyingi za ubunge japo alipitia wakati mgumu Wa kupoteza mzazi kipindi cha kampeni mwacheni ajipange upya kupoteza baba kupoteza jimbo mgombea uliyemtetea kufanyiwa mizengwe kuhama chama kapitia wakati mgumu katika siasa na huo ndio uanaume siyo mnafiki siyo mtu Wa matamko ili aonekaneAlikuwa mfuasi mtiifu kwa lowassa,alipinga waziwazi kukatwa kwa lowassa
Tukio lile limemuharibia vibaya sana heshima yake
Hawamu hii hiache hivyo hivyoMimi ni moja ya watu ambao niliamini kijana huyu alie wahi kuwa Meya wa Ilala angechomoza na kutamalaki katika hawamu hii ingawa alikosa ubunge jimbo la Ukonga, swali langu kubwa nikipi hasa kimempoteza haraka kijana huyu kwenye ulingo wa siasa?Maana baada ya kukosa ubunge wengi tulitegemea atachomoza kwenye uRC na uDC.
Mark my words, time will tellHii chai.... weka na maandazi kabisa!
Sio kweli mkuu. Jerry yuko cohort ya 21 ambayo bado inaendelea na masomoAnafanya sasa mitihani ili awe WAKILI
Cohort iliyopita
Nadhani kuna mitihani anahitaji airudie
Mkuu niliongea nae pale akiwa cohort ya 20 na Mama Jaji Dr FauziaSio kweli mkuu. Jerry yuko cohort ya 21 ambayo bado inaendelea na masomo
I just wish mgejua kuwa Jerry is somewhere preparing himself to rise in a bigger professional position. Don't always have prejudicial negative attitudes. At least I write with confidence kwamba Jerry Silaa hajapotea but us somewhere prepared for come back again
All in all sikuwahi kumkubali though japokuwa Ninajua he is going to resurrect some dayKwenye SIASA ndio kashapotea
Alimuangusha kwenye sanduku la kura na ndiyo maana Kafulila alishindwa kuishawshi Mahakama Kuu kanda ya Tabora itengue ushindi wa Mama Mwilima!husna alimwangusha kafulila ama alimuibia kafulila