Jerry Murro yupo kwa TB Joshua

Niko naangalia Chanel ya Emmanuel TV inayoonyesha huduma za kiroho za Prophet TB Joshua kutoka kanisa la SCOAN lilililoko Lagos Nigeria nikamuona Mtangazaji wa zamani,msemaji was zamani was Yanga na kada wa ccm Jerry Murro akiwa viti vya mbele na watanzania wenzake.Hongera Jerry Murro kwa kuwa deep kwa Mambo ya kiroho ,vijana tuamke
Yupo huko ili apate cheo walau cha uDC maana kajaribu kulamba viatu vya wala keki wapi???mwenzake Msiba nae sii muda mrefu ataenda huko.Huko ni kuabudu mtu Nabii Joshua,sii Mungu
 
Hao wanapitia hapo kuzuga tu...wanakwenda kwa watu maalumu kuchukua ama kuongeza nguvu ya hirizi!
 
Niko naangalia Chanel ya Emmanuel TV inayoonyesha huduma za kiroho za Prophet TB Joshua kutoka kanisa la SCOAN lilililoko Lagos Nigeria nikamuona Mtangazaji wa zamani,msemaji was zamani was Yanga na kada wa ccm Jerry Murro akiwa viti vya mbele na watanzania wenzake.Hongera Jerry Murro kwa kuwa deep kwa Mambo ya kiroho ,vijana tuamke
Nikisikia neno Nabii,nareflect ideology za Tito!
 
Ameenda kumuombea Mtulia
nimeanza kukosa amani na hilo kanisa la SCOAN,kwa nini wanapokea wauaji,wanafiki na hawawaelezi ukweli?
mwigulu,Jerry muro,magufuli,these are serial killers,bado makonda naye ataenda,yaani hayo ni mapepo ya mauti.
 
Unakumbuka nywele nyeupe naye alikwenda mbona humtaji
 
Kaona nyota haing'ai! Mtukufu John tafadhali muone na Jerry
 
May be has witnessed a lots of dirt , fearful disgusting events innocents Tanzanians go through done by his boss Bashite and his killer squad.
20180401_142354.jpg
 
Back
Top Bottom