Hawajasema lolote lakini kwa kuwa amesafishwa na Mahakama, unaweza kuwasikia wakijipendekeza kumpatia.Kwani wame ofa kumrudishia?
:violin::msela:
Mgosi vipi ?
tunamsubiri aje na riporti yake kuhusu ufisadi bagamoyo,halmashauri zingine kama kilosa,tanroads,air tanzania nk.Kisheria anatakiwa kurudi kazini na kulipwa mshahara wake wote tangu aliposhtakiwa akiwa TBC lau tido mhando atampeleka aljazeera.
Hawajasema lolote lakini kwa kuwa amesafishwa na Mahakama, unaweza kuwasikia wakijipendekeza kumpatia.
]#Ninamshauri Jerry Muro asipokee tuzo ya Mwandishi Bora wa Mwaka 2009 aliyopokwa na Baraza la Habari Tanzania (MCT) kwa sababu walimhukumu kabla ya hukumu ya Mahakama jambo ambalo ni udhalilishaji wa hali ya juu.