Jerry Muro usipokee Tuzo ya Mwandishi Bora 2009

dah but the guy amekiri kuwasamehe wote mbele za mwenyezi Mungu,nadhani apokee tu..na aendelee kuwaombea msamaha kwa mwenyezi Mungu maana malipo ni apa apa duniani.
Unajua kuna watu wanacheza na Mungu ehe!. Amewasamehe? LOL.... Ametubu asamehewe au amesamehe?
 
[h=1]JERRY MURO AZAWADIWA MWANDISHI BORA 2009[/h]MTANGAZAJI wa zamani wa kituo cha Utangazaji cha Taifa (TBC), Jerry Murro, ambaye wiki hii aliachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu katika kesi ya kudai kupokea rushwa, leo asubuhi amezawadiwa Dola za Kimarekani 6,000 ikiwa zawadi yake ya Mwandishi Bora wa mwaka 2009.

Zawadi hiyo amekabidhiwa katika ofisi za Baraza la Habari la Tanzania (MCT) zilizopo Mwenge jijini Dar es Salaam na Katibu mwenezi wa baraza hilo Kajubi Mukajanga

akikabidhiwa cheki

4.jpg

Akiwa na nani sijui
1.jpg

Akishukuru kwa mshiko
2.jpg

globalpublishers.info
 
Back
Top Bottom