Jerry Muro: Tundu Lissu njoo uone

Jerry Muro: Tundu Lissu njoo uone

Wamegoma kulipa $300m...Tatizo wengi wetu hatuwajui wazungu...mwanzo walikubali mazungumzo wapate fursa ya kuiona ripoti za makinikia za maprofesel wetu...kwa vyovyote wameona mapungufu wamekaza msuli... Coca cola na popcorn 13 episode
 
Tulikua tunaibiwa na bado tutaendelea kuibiwa i just saw only the portion of it, so yet we are still being Stolen the wealth. After two terms ended atakuja kichaa mwengine na mitazamo yake tofauti.
 
Haka kajamaa ka kuitwa Murro , ni kapumbavu sana, hiv kwa mwenye akili unaweza andika ujumbe wa kipumbavu kamà huu, Hivi huyu anajua nini Lissu kapigania juu ya ustawi wa nchi hii ama? kweli ww ni kiazi cha Igurusi, nimefatilia nakala zako zote unaandika ovyo, u have poor and disorganized reasoning. Pole sana we kajamaa ndo maana hata fani ya habari walikuona kanjanja, na bado hata TFF wakakupiga stop. Sina uhakikà kama una kazi maalum ya kufanya, ungekua na kazi maalumu usingelikuwa na njaa hivi hadi kwenye akili yako. SHAME ON YOU TAPELI
 
Haaa haaaa jamaa anajitahidi kweli kweli laiti angekuwa Massanja sasa hivi angeshakula shavu la ukuu wa Mkoa au balozi haaa haaa.Afadhali angekuwa anatoka kule kwa Mzee Mtakatifu mtarajiwa labda angefikiriwa bahati mbaya anatokea kuleee kwa wenye laana.Labda asubiria Mzee wa Kiraracha akistaafu Parole atafikiriwa.
Mimi sikubali hoja zake lakini haimaanishi kwa ujumla wetu tunalaana.
 
Hahahaaa....just..hahahahaa..! While other governments in the world are busy multiplying highly skilled scientists, scholars, teachers, lawyers and writers, your government is ridiculously using professors to seek for unbecoming ways to make money. Guys, your future shall never exist! Tell this to one another! Stop fooling yourself! Na ikiwa mtaendelea kudanganywa, basi tegemeeni ongezeko kubwa la kizazi cha vijana wanaookota makopo ndani ya miaka 20 ijayo. So pathetic!!
 
Wewe jerry Kama hujui unachokisema bora kaaa kimya si kutafuta kutajwa ili nyota yako ing'ae Hujui Hata Mh Lissu alisema nini na pia hujui hata Muhafaka kati ya Accacia Vs Tanzania unasema nini, Suburi wanao jua watafutafune wateme thn we Na wewe ndo muanze Umbea,
[HASHTAG]#Unakuwa[/HASHTAG] mchokozi kumbe unategemea mbia?Kumbe na brake hunaaa
 
Jerry Muro Njoo Uone CFO WA ACACIA Andrew Wray Amesema Hawana Usd mil 300 za Kuilipa Govt.tz
 
Hapo kweli kazi tuu wamebana wameachia mangufuli ni jembe wamebaki midomo wazi na kutoka mipovu mdomoni sasa tumelipwa malizetu na wazugu kwakua ni Mali zanchietu
Mangufuli kweli Jembe si unaona alivyotudanganya tutalipwa mabilioni sasa anakuja na sinema ya ubia wa 50% jembe kweli kwa mabashite yasiojitambua anawaendesha sana
 
Kweli kabisa, pamoja na akina Mbow kutaka kumuua, basi Mungu aliamua kwa makusudi yake amfanye aishi ili ajionee mwenyewe huyu mnafiki
Wewe una roho mbaya sana. Posti zako zote ni za iaina hiyo hiyo. Huna sympathy kabisa. Sijui kwanini uko hivyo. Mungu akusaidie. Yaani very inhuman, I have never come across a person like u.
 
This is called PR. Waliokwenda shule ya uongozi mnajua ile kitu inaitwa face the media. Lazima uwe mwangalifu ikija umeshikwa pabaya
Wasemavyo Acacia

Further Update on Discussions in Tanzania

20 Oct 2017

As announced on 19 October, the Government of Tanzania (“GoT") and Barrick Gold Corporation ("Barrick"), Acacia’s majority shareholder, hosted a press conference in Tanzania yesterday to provide an update on their ongoing discussions.

Acacia notes the further Barrick release of 19 October which provides additional details regarding the framework agreement signed by Barrick and the GoT on 19 October. Acacia continues to seek further clarification and as yet no formal proposal has been put to Acacia for consideration. Any proposal agreed in principle between Barrick and the Government will require Acacia’s approval, and Acacia will consider any agreement once it receives the full details.

A further update will be provided when appropriate.

Source: 2017
Is
 
Nafikiri umewasikia wanaume usiwe unakurupuka hovyo haya kiko wapi hawana ela ya kuwalipa sijui hizo ela mnalipwa na nani lisu aliwambia hakuna ela labda mvunje mikataba iletwe bungeni itungwe upya kiko wapi sasa nafikiri umesikia press yao leo n hata vyombo vikubwa dunian umesikia kunapo saa saba
 
Wamegoma sasa hawatoi hata Mia unasemaje sijui wewe na raisi mmeliongopea taifa lisu anabaki kuwa kidume yote hayo aliyafahamu pole kwa kuomba ukuu wa mkoa
 
Back
Top Bottom