Jerry Muro: Tundu Lissu njoo uone

Jerry Muro: Tundu Lissu njoo uone

Anaandika Jerry C. Muro

Taifa la Tanzania limeingia katika Historia ya Dunia Kufuatia Kampuni ya Barrick Gold kukubali kwa mara ya kwanza Kugawana asilimia hamsini kwa hamsini 50/50 ya Faida katika uzalishaji wa Dhahabu nje ya Asilimia 16 ya Mrahaba na Kodi ambayo taifa itapata.

Nimedadisi katika nchi mbalimbali ambazo Barrick wamefanya uwekezaji kama huu na kugundua Tanzania ndio nchi pekee ambayo imethubutu na kufanikiwa katika hili, Hongera Tanzania Hongera Rais Mzalendo Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli katika kurekebisha kwa vitendo makosa ya watangulizi wako, huu ndio Uongozi unaoacha alama tukufu, naamini kwa sasa watangulizi wako wanafuraha kubwa ya kuona umesahihisha kwa vitendo pale walipokosea.

Muafaka Baina ya Tanzania na Barrick umewaacha "bila nguo" tena nasisitiza "bila nguo kama mnyama" wale wote waliokuwa wakisubiri Tanzania ipelekwe mahakama ya kimataifa kutokana na kuchukua hatua za kuzuia makinikia, kwangu nasema shame on you najua wamenielewa na wamesikia, Leo Tanzania imepata Shilingi Bilioni 700 kama hela tu ya kujenga uaminifu, bado nasubiria tupate kodi yetu, tupate Mrabaha wetu, kisha tugawane faida hamsini kwa hamsini.

Nimefarijika sana na kauli ya Mhe Rais, Dkt. John Pombe Magufuli ya kuwataka wawekezaji wengine wote katika Sekta ya Madini kujitafakari na kuanza kufuata uelekeo wa makubaliano kama Haya na Barrick, sasa tutaanza kuvuna neema kwenye Tanzanite, Almasi na kisha tutaingia kwenye Gesi na Mali asili zingine, Haya ni mafanikio makubwa katika kipindi cha takribani miaka miwili ya Uongozi wa Mhe Magufuli, naamini akimaliza miaka Mitano ya kwanza na ile mingine lazima Tanzania tutakuwa "Donor country"

Naomba nimalize kwa kufikisha salamu kule Nairobi, mwambieni kulikuwa na sababu ya Mungu kumuweka hai ili aje ashuhudie ukuu wa Mungu kupitia Mhe Magufuli, lile alilosema haliwezekani kwa sasa limewezekana na Hatimae Mhe Magufuli ameibuka shujaa na kinara wa kielelezo cha Rais Bora Africa anaepigania rasilimali za nchi yake, Mungu alisema Muombee sana "adui" yako aishi miaka mingi ili Ashuhudie Baraka za Mungu kwako, Hatimae maombi yetu yamejibu sasa.

Wasalamu
Jerry C. Muro
Dodoma, Tanzania
20/10/2017
 
Kudaaadeki yaani angesikilizwa Lissu nchi ingeendela kudhulumiwa kwa miaka kibao ijayo wakati tunasubiri utaratibu wa kuvunja mikataba kihalali.

Wanaume wamebadilisha sheria za madini wiki moja wakamkamata mtu shingo lipa hela yetu au biashara basi wenyewe wamekubali mapatano mapya.

Sasa aliyetoa ushauri huu wa kuikandamiza nchi ni Lissu ambaye ndiye msomi wao. Ushauri huu ungetolewa na yule waziri wao wa ulinzi Lema ingekuwaje?

Sipingi ushindani wa vyama ila kwa Tanzania hasa CHADEMA wako hovyo mno.
 
Mara Paap mgodi umepata hasara 50/50 itatuhusu kulipa madeni
 
Huyu Jamaa yaani kweli usomi ameamua kuweka pembeni kwa ajili ya Njaa?! Aisee kweli njaa ni hatari sana.
Njaa mbaya sana mkuu, huyu anafaa kuwa wa mitandaoni tu. Akipewa cheo ataharibu ana mihemko sana.
 
Amekusikia atakufikiria, unafanya marudio sote tunaelewa. Nami nampongeza raisi wetu lakini nakuomba umpe pole TL
 
Kudaaadeki yaani angesikilizwa Lissu nchi ingeendela kudhulumiwa kwa miaka kibao ijayo wakati tunasubiri utaratibu wa kuvunja mikataba kihalali.

Wanaume wamebadilisha sheria za madini wiki moja wakamkamata mtu shingo lipa hela yetu au biashara basi wenyewe wamekubali mapatano mapya.

Sasa aliyetoa ushauri huu wa kuikandamiza nchi ni Lissu ambaye ndiye msomi wao. Ushauri huu ungetolewa na yule waziri wao wa ulinzi Lema ingekuwaje?

Sipingi ushindani wa vyama ila kwa Tanzania hasa CHADEMA wako hovyo mno.
Kuna buku 7 zako za kutibu njaa uliyonayo
 
Hii inanikumbusha ya kua ukitaka kua mwanachama ccm jiandae kuongozwe na darasa la saba tena atataka kukukagua elimu yako tena na kuhoji ufaulu wako nimeona haya mwenye masters anakua sawa na darasa la nne tena awanatofauti unaweza sema ivi masters kumbe haina kaz
 
Wewe ndiye akili ndogo unaishi kwenye nchi inayoongozwa na wenye akili kubwa, imekula kwenu

Akili kubwa trilion 400 hadi bilion 600 na bado wamesema hawalipi

Labda akili kibwa za kuua watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom