Bavicha mmekuwa wapole baada ya Acacia kukubali
Acacia?Bavicha mmekuwa wapole baada ya Acacia kukubali
Acha kuwa mwepesi Nahuja. Zikatekate hoja zake huyo jamaa, usidandie tu.
Nakupenda!
Kuna siku katika hizi "siledi" za kufukua makaburi nikaona kumbe Ruttashobolwa alikuwa CHADEMA!!!Hahahaa amehemkwa huyo...
Jerry MurroAnaandika Jerry Muro
[HASHTAG]#Taifa[/HASHTAG] la Tanzania limeingia katika Historia ya Dunia Kufuatia Kampuni ya _Barrick Gold_ kukubali kwa mara ya kwanza Kugawana asilimia hamsini kwa hamsini *50/50* ya Faida katika uzalishaji wa Dhahabu nje ya *Asilimia 16* ya Mrahaba na Kodi ambayo taifa itapata.
[HASHTAG]#Nimedadisi[/HASHTAG] katika nchi mbalimbali ambazo Barrick wamefanya uwekezaji kama huu na kugundua Tanzania ndio nchi *PEKEE* ambayo *IMETHUBUTU* na kufanikiwa katika hili, Hongera Tanzania Hongera Rais Mzalendo *Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli* katika kurekebisha kwa vitendo makosa ya watangulizi wako, huu ndio Uongozi *UNAOACHA ALAMA* tukufu, naamini kwa sasa watangulizi wako wanafuraha kubwa ya kuona umesahihisha kwa vitendo pale walipokosea.
[HASHTAG]#Muafaka[/HASHTAG] Baina ya Tanzania na Barrick umewaacha "UCHI" tena nasisitiza "*UCHI WA MNYAMA* " wale wote waliokuwa wakisubiri Tanzania ipelekwe mahakama ya kimataifa kutokana na kuchukua hatua za kuzuia MAKINIKIA, kwangu nasema *SHAME ON YOU!!!* najua wamenielewa na wamesikia, Leo Tanzania imepata Shilingi Bilioni 700 kama hela tu ya kujenga *UAMINIFU*, bado nasubiria tupate kodi yetu, tupate Mrabaha wetu, kisha tugawane faida hamsini kwa hamsini.
[HASHTAG]#Nimefarijika[/HASHTAG] sana na kauli ya Mhe Rais, *Dkt. John Pombe Magufuli* ya kuwataka wawekezaji wengine *WOTE* katika Sekta ya Madini kujitafakari na kuanza kufuata uelekeo wa makubaliano kama Haya na Barrick, sasa tutaanza kuvuna neema kwenye Tanzanite, Almasi na kisha tutaingia kwenye Gesi na Mali asili zingine, Haya ni mafanikio makubwa katika kipindi cha takribani miaka miwili ya Uongozi wa Mhe Magufuli, naamini akimaliza miaka Mitano ya kwanza na ile mingine lazima Tanzania tutakuwa "*Donor country*"
[HASHTAG]#Naomba[/HASHTAG] nimalize kwa kufikisha salamu kule Nairobi, mwambieni kulikuwa na sababu ya Mungu kumuweka hai ili aje ashuhudie ukuu wa Mungu kupitia Mhe Magufuli, lile alilosema haliwezekani kwa sasa *LIMEWEZEKANA* na Hatimae Mhe Magufuli ameibuka shujaa na kinara wa kielelezo cha Rais Bora Africa anaepigania *RASILIMALI* za nchi yake, Mungu alisema Muombee sana "*ADUI* " yako aishi miaka mingi ili Ashuhudie Baraka za Mungu kwako, Hatimae maombi yetu yamejibu sasa.
Wasalamu
*Jerry C. Muro*
*Dodoma, Tanzania*
*20/10/2017*
Jerry Murro learn how to read between the lines as a journalist. I think you rushed too much to write before you could understand what is written in the agreement. Things are not yet conclusive let’s wait to the last resolution then we can celebrate or else it is still too early to celebrateAnaandika Jerry C. Muro
[HASHTAG]#Taifa[/HASHTAG] la Tanzania limeingia katika Historia ya Dunia Kufuatia Kampuni ya _Barrick Gold_ kukubali kwa mara ya kwanza Kugawana asilimia hamsini kwa hamsini *50/50* ya Faida katika uzalishaji wa Dhahabu nje ya *Asilimia 16* ya Mrahaba na Kodi ambayo taifa itapata.
[HASHTAG]#Nimedadisi[/HASHTAG] katika nchi mbalimbali ambazo Barrick wamefanya uwekezaji kama huu na kugundua Tanzania ndio nchi *PEKEE* ambayo *IMETHUBUTU* na kufanikiwa katika hili, Hongera Tanzania Hongera Rais Mzalendo *Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli* katika kurekebisha kwa vitendo makosa ya watangulizi wako, huu ndio Uongozi *UNAOACHA ALAMA* tukufu, naamini kwa sasa watangulizi wako wanafuraha kubwa ya kuona umesahihisha kwa vitendo pale walipokosea.
[HASHTAG]#Muafaka[/HASHTAG] Baina ya Tanzania na Barrick umewaacha "UCHI" tena nasisitiza "*UCHI WA MNYAMA* " wale wote waliokuwa wakisubiri Tanzania ipelekwe mahakama ya kimataifa kutokana na kuchukua hatua za kuzuia MAKINIKIA, kwangu nasema *SHAME ON YOU!!!* najua wamenielewa na wamesikia, Leo Tanzania imepata Shilingi Bilioni 700 kama hela tu ya kujenga *UAMINIFU*, bado nasubiria tupate kodi yetu, tupate Mrabaha wetu, kisha tugawane faida hamsini kwa hamsini.
[HASHTAG]#Nimefarijika[/HASHTAG] sana na kauli ya Mhe Rais, *Dkt. John Pombe Magufuli* ya kuwataka wawekezaji wengine *WOTE* katika Sekta ya Madini kujitafakari na kuanza kufuata uelekeo wa makubaliano kama Haya na Barrick, sasa tutaanza kuvuna neema kwenye Tanzanite, Almasi na kisha tutaingia kwenye Gesi na Mali asili zingine, Haya ni mafanikio makubwa katika kipindi cha takribani miaka miwili ya Uongozi wa Mhe Magufuli, naamini akimaliza miaka Mitano ya kwanza na ile mingine lazima Tanzania tutakuwa "*Donor country*"
[HASHTAG]#Naomba[/HASHTAG] nimalize kwa kufikisha salamu kule Nairobi, mwambieni kulikuwa na sababu ya Mungu kumuweka hai ili aje ashuhudie ukuu wa Mungu kupitia Mhe Magufuli, lile alilosema haliwezekani kwa sasa *LIMEWEZEKANA* na Hatimae Mhe Magufuli ameibuka shujaa na kinara wa kielelezo cha Rais Bora Africa anaepigania *RASILIMALI* za nchi yake, Mungu alisema Muombee sana "*ADUI* " yako aishi miaka mingi ili Ashuhudie Baraka za Mungu kwako, Hatimae maombi yetu yamejibu sasa.
Wasalamu
*Jerry C. Muro*
*Dodoma, Tanzania*
*20/10/2017*
Ukiona hivyo labda kashazawadiwa ukuu wa wilayaKuna siku katika hizi "siledi" za kufukua makaburi nikaona kumbe Ruttashobolwa alikuwa CHADEMA!!!
Kweli kabisa, pamoja na akina Mbow kutaka kumuua, basi Mungu aliamua kwa makusudi yake amfanye aishi ili ajionee mwenyewe huyu mnafiki
Lazima muumie sana nyie vibaraka wa WazunguAkili zenu ndogo mno
makubaliano kutekelezwa mpaka Approval ya bodi ya London
Je wakikataa akiba ya maneno muhimu sana palipo na ngozi nyeupe kaa chonjo
sidhani, hahahahahhaha. Yaani nilishangaa sana hasa ukimuona Ruttashobolwa kwa sasa alivyokindaki kindaki na Chama cha Mapinduzi, nikasema basi siasa hizi, mmmmmh! bora nikae nilivyo. Ngoja nifukunyue huo uzi kama nitaupataUkiona hivyo labda kashazawadiwa ukuu wa wilaya
Lazima muumie sana nyie vibaraka wa Wazungu
Tumia akili! Watu wako katika majonzi halafu unawatonesha! Hiyo akili ya wapi?Nawewe unaitafuta nafasi iliyoachwa NA Ben Saanane