Yale ni mapenzi kwa chama chake na serikari yake.
Tunajua mnajisemesha ili kumwalibia, lakini ni vizuri mkatambua kwamba:
'Kama ameandikiwa na Mungu kuja kufanya kazi na Raisi Magufuli hata mroge kiasi gani mtashindwa tu'.
ANACHOKIFANYA MURO NI KUTUMIA HAKI YAKE YA KIDEMOKRASIA KUTOA MAONI YAKE KAMA VILE UFANYAVYO WEWE.Labda niwakumbushe ndugu zangu mnaopenda kuchungulia kwenye chungu hiki cha JF, kuwa anachokifanya Jerry Muro siyo ulimbukeni au bahati mbaya, bali anajua anacholenga kwani hii imekuwa mbinu ya vijana wengi wa Kitanzania kufikia malengo yao ya kuteuliwa katika nafasi mbalimbali katika awamu ya nne na hii ya tano.
Mnakumbuka jinsi Bashite alivyofanya maajabu hata ya kumzaba vibao mzee wa watu, pia alidiriki kukaa nyuma ya runinga kumtukana Lowassa, baada ya muda mfupi akateuliwa. Ni wengi ambao tunaweza kuwataja, ebu tujikumbushe jinsi kaka yangu Nape alivyomtukuna mzee Lowassa pale Iringa kwenye kampeni, kisha akazawadiwa nafasi ya uwaziri.
Imekuwa mtindo wa kutafutia nafasi za kuteuliwa kwa kuwatukana wapinzani na kusifia malaika mtakatifu. hicho ndicho anachokifanya Muro muda simrefu atateuliwa tu. anayebisha atarudi hapa kusema kweli ulitabiri.
Namuomba kaka yangu Muro aongeze bidii za kuandika na kuitisha midia kila siku, na anapopata nafasi ajitahidi kumsema Lissu vibaya, atateuliwa haraka.
ANACHOKIFANYA MURO NI KUTUMIA HAKI YAKE YA KIDEMOKRASIA KUTOA MAONI YAKE KAMA VILE UFANYAVYO WEWE.
NINGEKUONA MTU WA MAANA SANA KAMA UNGEKUWA UNACHAMBUA HOJA KWA HOJA NA SIYO JAZBA/CHUKI.
JAMVI HILI NA LA 'THOSE WHO DARE SPEAK' [Logically]
Nyie hii dhambi ya ukabila ilishawamaliza cku nyingi sana badilikeni wakati Wanyarwanda wanapambana kuondoa kuulizana ww kabila gani?Wao cku hizi ukiwauliza which tribe are you?they are always responding "We are all Rwandans!!!! Lkn sasa cku hizi kuna watu wakisikia tu uteuzi wanauliza yule kabila gani?Jamani tuwe na kauli moja sisi wote ni WatzAbadili kabila kwanza
Yani nyinyi mnataka wana CCM wakae kimya, ili mtambe wenyewe au?Hakuna anayemwaribia kaka yangu, ila ungekuwa mkweli ungekubali kuwa anatafuta kuteuliwa kwa njia ambayo wamewahi kutumia vijana wengi, kudhalilisha watu wengine ili wateuliwe. Hii inatokana na kuporomoka kwa maadili maana haiwezekani mtu amzalilishe mzee kama yule kwa kumchapa vibao halafu atunukiwe cheo