Kabisa, Muro lazima aringe awamu hii sababu inapambana na kile alichopambana nacho. Yuko vizuri upande huo.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni,mnakumbuka huyu jamaa aliwapiga picha kwa siri askari wa barabarani wala rushwa kitendo ambacho kilimng'arimu sana ukizingatia awamu ya nne haikujali sana wala rushwa.