Jerry Muro awaanika askari kwa rushwa, nini kitatokea?

mdogo wangu jerry nakuupongeza
kwa kazi kubwa wee uloifanyaaaa
kufichuaa maovuuu makubwaaaaa
bila wewe sisii tusiingejuaaaaaaaa
OOOOOOOOOOOOOOO KAMA SIIIIIIIIIIIIIIIIIOOOOOOOOOOOOOOOO!...
 
tumuombee mdogo wetu jamani!

umri wake ni mdogo sana(28yrs),lakini AMEWEKA KUVULI KWENYE INTEREST ZA BIG-FISHES....!!

itamcost maisha kama hatakuwa mwangalifu...!


ni kweli mkuu ila ktk maisha adui mbaya ni yule usiyemjua ndiye anaweza kukuua haraka lakini ukishamjua adui yako hofu una kama anavyofanya mdogo wetu anawalipua live
 
ni kweli mkuu ila ktk maisha adui mbaya ni yule usiyemjua ndiye anaweza kukuua haraka lakini ukishamjua adui yako hofu una kama anavyofanya mdogo wetu anawalipua live
so true...
 
mdogo wangu jerry nakuupongeza
kwa kazi kubwa wee uloifanyaaaa
kufichuaa maovuuu makubwaaaaa
bila wewe sisii tusiingejuaaaaaaaa
OOOOOOOOOOOOOOO KAMA SIIIIIIIIIIIIIIIIIOOOOOOOOOOOOOOOO!...

yani mbavu sina kumbe kwa mashairi humo mkuu daa

zidumu fikra sahihi za jerry murro
hudumu ubunifu wa jerry murro
oooooooooooooooooooooooooo kama siiiiiiiiiiiiiiiiiiioooooooooooooooooooo
 
ila piiiaaa jerry nakuhuuusiiaaaaaa
usichokeee munguuu kumuuuoombaaaaa
umewashiiikaaaaa WAKUBWA PAABYAYAAAA
inaweza kukughariiiimuuu maiishaaaaaaaaaaaa
OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOH KAMA SIIIIIIIIIIIOOOOOOOOOOOOOOOO!
 
mdogo wetuuu usikate tamaaaaaaaaaa
fanya kazi kwa maadili ulofundishwaaaa
kaka zako dua twakuombeaaaaaaaaaaa
mungu yupo haki itazimamiwaaaaaaaaaa
OOOOOOHHHH KAMA SIIOOOOOOOOOOOOO
 
jerry nimeoda madad wa tatu pale corner bar wenye shanga zao miguuni na viuononi
yupo na mchina mmoja kwa kazi nzuri uliyoifanya ,mchina nimekuwekea kuonyesha walivyojaa nchini hivyo ukimtumikia vizuri natumaini baada ya mapolisi elekea kwa wachina waliojaa kariakoo wanaotuzibia ajira madada na makaka zetu
 
kipi ujaelewa mkuu

kama sio juhudi zako jerry murro x3
matrafiki wangeumbuka liniiiiiii
kama sio juhudu zako jerry murro x3

hope hii ni njia sahihi ya kuwaenzi waanga wetu

Hapo kwenye RED, una maana kuwa Jerry Murro ni muhanga na kama ndiyo wa kitu gani? Au hilo ni neno jipya. Sisi bwana tulikuwepo enzi za miaka ya 47... wakati mwingine maneno ya vijana wa dot com yanatupiga chenga!!
 
kama viongozi wa juu wana iba..sasa RUSHA..RUSHWA (((kawanini Tusichukue!!)))
 
mungu akulinde akupe rehema zake
akulinde na kkusaidia katika maisha yako
munu ndie mlinzi wako usiogope
 
mungu akulinde akupe rehema zake
akulinde na kkusaidia katika maisha yako
munu ndie mlinzi wako usiogope
Watanzania tuko nyuma yako,
Achana na dude linaitwa TAKUKUNGURU,
Halina uwezo kuwashika,
Wale wadokoaji barabarani.
 
Jerry Muro safi sana,ila tulia sasa kaka. Haka kajamaa kamesoma Political science pale mlimani kanafanya kazi nzuri sana ya uandishi kuliko hata waliosoma uandishi wa habari.
 

Watanzania wote tungekuwa hivi tungefika mbali sana!you are one of the personality of a dream Tanzania accidentally living in a screwed up TZ!!

wito kwa watanzania,tujenge utamaduni wa kujiamini,ikiwezekana tutembee na video camera kabisa,kurekodi upuuzi wa aina hii ukitokea
 
kama sio juhudi zako jerry murro x3
matrafiki wangeumbuka liniiiiiii
kama sio juhudu zako jerry murro x3

hope hii ni njia sahihi ya kuwaenzi waanga wetu

Jerry amnia kwa zako juhudi mijigambire lazma rushwa ikome
Kaza buti mwana ikiwezekana pasua hadi home kwetu Same,
Hii nchi imejaa maovu mengi from now on this wont be the same,
Mizee yala rushwa utazanishia mafupa na mnyama fisi?
Natumaini hizo kesi zilizofunguliwa zitawapiga maafande mufilisi,
Hakianani mwaka huu rushwa Jeryy itokomeze mpaka wakuone we nuksi.
 
Jerry Murro needs protection. Otherwise we're going to lose this brilliant guy
 
Jerry Murro needs protection. Otherwise we're going to lose this brilliant guy

You are right!! I am so worried too. Ila tena yuko TBC1, television ya taifa na mambo yenyewe yanagusa Taifa!!! Na unajua tena, Taifa halitaki kuambiwa ni chafu!!! Afadhali angekuwa kule kule kwa IPP media! Juzi na jana nilitizama hiyo movie, nikamwambia mwenzangu kuwa "this is dangerous to the guy... wanamvutia pumzi"
 

Mkuu ni kweli kabisa tunahitaji kujua hivi vitu.
Mimi hata sheria sikusoma ila nilienda tu kwenye website ya police pale kuna doument moja inakuelekeza ni haki gani raia aliyonayo pindi anaposimamishwa au kukutana na police pamoja na vitu vingine vingi tuu vya maana. Sasa kwa kuwa nimeiprint na ninampa anaiona na anajua ninajua haki zangu tayari hawezi kunizuga.

Kingine kwenye ile notification paper, kwa nyuma utaona wameweka list ya makosa na kuna refernce ya ile traffic act. Sio issue tu ya askari kukuambi umefanya kosa fulani, lazima akuonyeshe ni wapi umekiuka sheria. Ndio maana mimi nikaprint ile road traffic act ili incase tumeshindwana then anionyeshe sheria anayonipiga fine nayo. So kila kitu kiko wazi an kosa moja ni 20thousands.

Ila tatizo moja tuu ni kwamba watz wengi hatujui haki zetu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…