Kapilipoint
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 381
- 345
Wadau na viongozi Wa UVCCM naomba kujua Bw.Jerry MURO ana cheo gani ndani ya UVCCM?
Mmmmh kichina hikiYou Uzi isojekuea hata mwenye anatuuliza I'll tumjafili spate kiki
Hana cheo chochote bali ni mganga njaa tuWadau na viongozi Wa UVCCM naomba kujua Bw.Jerry MURO ana cheo gani ndani ya UVCCM?
Duh!! Mkuu umetisha, nimependa uandishi wako.You Uzi isojekuea hata mwenye anatuuliza I'll tumjafili spate kiki
Ana mdomo mchafu utadhani ana hisa LumumbaWadau na viongozi Wa UVCCM naomba kujua Bw.Jerry MURO ana cheo gani ndani ya UVCCM?
Yule tangu aliopo fukuzwa yanga amebakia kuwa kanjanjaNi mtukanaji wa chama.
Wadau na viongozi Wa UVCCM naomba kujua Bw.Jerry MURO ana cheo gani ndani ya UVCCM?[/Qmropokajiii asiyejua anachoongeaaaaaa kunguruu huyo
Lugha gani hii?You Uzi isojekuea hata mwenye anatuuliza I'll tumjafili spate kiki
Ni kikolomijeLugha gani hii?
Nasikia siku za karibuni alimfata Manji eti aone la kufanya kwake ila alifukuzwa kama mbwa kokoYule tangu aliopo fukuzwa yanga amebakia kuwa kanjanja
Kweli ni kichinaYou Uzi isojekuea hata mwenye anatuuliza I'll tumjafili spate kiki
Mmmmh kichina hiki
alikuwa anakata gogo wakat wa kuandikaMmmmh kichina hiki
MakorokochoYou Uzi isojekuea hata mwenye anatuuliza I'll tumjafili spate kiki
Mkuu unajua siku zote mtu mwenye njaa daima huwa hana aibu,amesha sahau jinsi alivyokuwa anatoa maneno ya kejeli kwa Manji wakati yupo matatizoniNasikia siku za karibuni alimfata Manji eti aone la kufanya kwake ila alifukuzwa kama mbwa koko
Kuna siku utaamini maneno yangu![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
mshana mshana Mungu anakuona Ujue...dah nimecheka sana..