Jerry Muro ana cheo gani ndani ya UVCCM?

Jerry Muro ana cheo gani ndani ya UVCCM?

Hata kama hana cheo chochote officially, sidhani kama zile ''press conferences'' anazofanya huwa anaziandaa kwa pesa kutoka kwenye wallet yake iliyofulia. Someone must be behind all those moves.
 
Waweza poteza muda kumjadili huyo kweli, anamadhara gani kwenye nchi labda, hata ile kata anayoishi? Ni jamaa mmoja tu kaamua kupotezea watanzania muda wao
 
yule chizi lakini najuwa huwezi kuniamini but wait for the day ataanza kuokota makopo
 
Kuna siku huyu Jerry alisema bw.polepole ccm sio yake mie niliamini Ana Cheo kikubwa UVCCM
 
Back
Top Bottom