Jerry Muro yafaa ajibiwe kihuni huni tena na mabinti wadogo ndiyo atapata AdabuNafikiri hizi ndio siasa zinakoelekea yaani MTU makini ajibiwe na MTU makini MTU Wa ovyo kama Muro asimjibu zito sio size yake akimjibu zito act wamtafute mwajuma ndala ndefu nae amjibu muro [emoji13] [emoji13]