Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,038
- 9,353
Hii strategy ya kumtumia Mwanamke kumjibu Jerry Muro ni ya akili sana, Kwa sababu Jerry akijisahau akatumia maneno ya kihuni kumjibu mwanamke ataharibu zaidi na anaweza kujikuta anaingia katika mtego wa unyanyasaji kijinsia. Jamii nzima itamshukia kwa maneno ya unyanyasaji!!.