Jerry Muro alikoroga, akaribishwa jikoni

Jerry Muro alikoroga, akaribishwa jikoni

Hawa nao mtu kama jerry sio wa kujibiwa,

Hata humu ndani natamani upumbavu wake usingekuwa unaletwa

Mtu mpumbavu kama yule anayeamini ni siasa ni kubwabwaja kama kina bajaji ni wa kupuuzwa,

Tujadili mambo ya msingi

Ni bora kabisa tukikosa cha kujadili basi tujadili kuhusu gigy money ana amberlulu wana minyeo ni noma sema gigy lake linaisha siku hizi sijui lilikuwa la mchina

Mtu mzima prezzo kaangukia kwa amberlulu
 
upload_2017-11-1_15-56-20-png.621959


JERRY UNAITWA UKAKUNE NAZI! NA KWELI UMEZUNGUKWA NA WAKUNA NAZI
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Dhambi ya usaliti itamtafuna sana zito, naona sasa chama kimebakina mtu mmoja mmoja.
Namshauri aombe radhi arudi Chadema akaongeze nguvu hatuhitaji utitiri wa vyama uchwara.
kwanini CHADEMA wasiende ACT kuongeza nguvu?
 
Hii strategy ya kumtumia Mwanamke kumjibu Jerry Muro ni ya akili sana, Kwa sababu Jerry akijisahau akatumia maneno ya kihuni kumjibu mwanamke ataharibu zaidi na anaweza kujikuta anaingia katika mtego wa unyanyasaji kijinsia. Jamii nzima itamshukia kwa maneno ya unyanyasaji!!.
Yu're very intelligent.
Yu've gone a step further in trying to read between the lines.
 
Kada wa chama cha ACT Wazalendo Monalisa Ndala amesema kuwa hoja aliyoitoa Jerry Muro ya kumjibu Zitto Kabwe kuhusiana na takwimu za uchumi, yeye alitamani kuona wanabishana kwa hoja na sio mipasho kama alivyoitoa.


Vita akina mama huwa siingilii ...
 
Kweli pengo la Habib Mchange, Albert Msando, Mama Anna, Kitila Mkumbo, Mwigamba na wenzake linaonekana

Sibora hilo pengo liko kwenye chama kidogo kuliko udhaifu wa kujibu hoja wa ccm mpaka kuamua kumtumia Jerry Muro na pipe?
 
Kada wa chama cha ACT Wazalendo Monalisa Ndala amesema kuwa hoja aliyoitoa Jerry Muro ya kumjibu Zitto Kabwe kuhusiana na takwimu za uchumi, yeye alitamani kuona wanabishana kwa hoja na sio mipasho kama alivyoitoa.
So yy no njaaa.

 
Aiseee agiza kirikuu nakuja kulipa!! Hakuna mchaga mwehu hv
 
Mimi ninajitolea nazi 10 toka Mafia kazi kwako Jerry.
 
Back
Top Bottom