HamisaBaby
Member
- Oct 6, 2017
- 80
- 25
Tukapike Jerry
Alitengeneza mchongo wakati ule Akiwa na matapeli wawili wakamtishie yule jamaa wa bagamoyo ili wakamtoe hela kwa kashafa ya rushwa ishu ikabuma....Jane muro Mpuz tuMzee wa pingu..
Ha ha haaa,Jerry unaitwa kukuna Nazi jikoni [emoji3][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app
Si ndio yule gasho ,mbaya Zaid alikuwepo hata yanga,,,Hakuna haja ya kumjibu muro mnampa umaarufu asiostahili, hivi muro ni nani labda angekuwa katibu wa ccm
Kesi kesi visasi kukomoana kuwabambikia kesi Wapinzani sasa wanazoea endeleeni kuwabambikia hakuna shida wapo tayariHuyu naye wamuunganishe kwenye ile kesi ya zito.
Nafikiri hizi ndio siasa zinakoelekea yaani MTU makini ajibiwe na MTU makini MTU Wa ovyo kama Muro asimjibu zito sio size yake akimjibu zito act wamtafute mwajuma ndala ndefu nae amjibu muro [emoji13] [emoji13]Mwee, Dada kamrarua Jerry though inaweza kutoa alama ya aina ya watu wanaobaki ACT baada ya cream kuondoka kila kukicha.
![]()
JERRY UNAITWA UKAKUNE NAZI! NA KWELI UMEZUNGUKWA NA WAKUNA NAZI
Siasa za ccm hazitaki mtu smart sana kichwani nadhani haya majibu yanamfaa sana Jerry ndio maana mkubwa mwanza nae hajafanya siasa this time anaona aibu tuKweli pengo la Habib Mchange, Albert Msando, Mama Anna, Kitila Mkumbo, Mwigamba na wenzake linaonekana
Possibly but hakuna mwanaume mwenye matusi alieshinda ugomvi Wa maneno na binti [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hii strategy ya kumtumia Mwanamke kumjibu Jerry Muro ni ya akili sana, Kwa sababu Jerry akijisahau akatumia maneno ya kihuni kumjibu mwanamke ataharibu zaidi na anaweza kujikuta anaingia katika mtego wa unyanyasaji kijinsia. Jamii nzima itamshukia kwa maneno ya unyanyasaji!!.
Atakuwa Katibu baada ya ccm kutoka kwenye uongozi.Hakuna haja ya kumjibu muro mnampa umaarufu asiostahili, hivi muro ni nani labda angekuwa katibu wa ccm
hao waandishi walioatend Hiyo press ya kukaribishana kukuna Nazi hawazingatii kabisa maadili.Kwenye hiyo kesi Zitto anashinda mchana kweupe, labda mtumie pipe maana huwa hamna hoja.