OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,242
- 103,937
Mimi nimesoma kiparan'ganda praimarii skuulu!! Nimepata A ya kuandika jina langu!!Sasa kama kasoma feza ulitaka apate marks gani? Angekuwa amesoma shule yenye jina la kijiji kweli ukipata A zote hapo ndo ingekuwa story
Akina Makongoro tu ndio walikuwa na mkosiView attachment 613551
View attachment 613552
Mtoto Jeremiah John Pombe anayesoma shule ya Watanzania Maskini wanyonge Feza Primary School amepasua katika mitihani yake ya darasa la saba baada ya kupata A zote katika mitihani hiyo
Hongera mtoto wa familia ya JPM
Mods sijakosea jukwaa
View attachment 613554 Watoto wa Feza wakisoma katika mazingira magumu
Wewe hukuisikia elimu bure?Safi,Haya tunaomba tuwekewe being ya ada ya hiyo shule ya wanyonge ili sisi wanyonge tukasomeshe huko watoto wetu!!!
Jay JayMajina yao yote lazims yaanze na J
John
Janeth
Jesca
Jeremiah
nk
Makonda aimulike hii shule mazingira ni magumu sana kwa kweliIle shule inahitaji msaada wa madawati na vifaa vys kujifunzia. Ina mazingirs magumu sana
Hahaha sasa una zinguaKama Feza ndiyo shule ya masikini na wanyonge basi naombeni mnifanyie mpango na mimi niweze kuwa masikini jamani!! Huu utajiri utatuua watanzania tulio wengi!
View attachment 613554 Watoto wa Feza wakisoma katika mazingira magumu