Jeremiah John Pombe apasua Darasa la Saba

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
48,779
102,149
Screenshot_2017-10-20-23-56-33~2.png

Screenshot_2017-10-20-23-56-42~2.png

Mtoto Jeremiah John Pombe anayesoma shule ya Watanzania Maskini wanyonge Feza Primary School amepasua katika mitihani yake ya darasa la saba baada ya kupata A zote katika mitihani hiyo

Hongera mtoto wa familia ya JPM

12qq.jpg
Watoto wa Feza wakisoma katika mazingira magumu

chini.jpg

Watoto wa Nanjilinji wakisoma katika mazingira rafiki
 
Safi,Haya tunaomba tuwekewe bei ya ada ya hiyo shule ya wanyonge ili sisi wanyonge tukasomeshe huko watoto wetu!!!

Hivi kuna mnyonge anaemudu ada ya shule ya msingi shs 4mln?!! Ada hii ni ghali kuliko ada ya chuo cha elimu ya juu Tanzania.

.........Shule za Feza International za chekechea, msingi na sekondari zilizoko Kawe, Mikocheni, na Tegeta kwa wasichana na wavulana hutegemea ngazi ya elimu.

“Mtoto wa shule ya msingi analipiwa Sh4 milioni kwa mwaka na yule anayeanza sekondari analipia zaidi ya Sh7 milioni. Kwa shule ya msingi ada pekee ni Sh2.9 milioni bila kuhusisha gharama nyingine kama chakula, malazi, vifaa na usajili,” alieleza mmoja wa wazazi ambaye ana mtoto wake anasoma moja ya shule hizo.

Source. Shule Dar yatoza Sh60 milioni
 
Swahiba wetu mpya Recep Tayyip Erdoğan yule raisi wa uturuki hataki kuzisikia hizo shule, anazituhumu zinamilikiwa na gaidi aliye changia jaribio la kumpindua kule uturuki....... so JPM vipi kuhusu "show of good faith"?? :D
 
62 Reactions
Reply
Back
Top Bottom