Jenista Mhangama aliwahi kuolewa?

Jenista Mhangama aliwahi kuolewa?

Marehemu alikuwa na mume aliitwa Eng Muhagama aliwahi kufanya kazi kama sikosei na kampuni ya kijapan ya ukandarasi iliitwa KAJIMA ambayo ilitengenza barabara ya SONGEA ..MBINGA kiwango cha changarawe miaka ya nyuma japo za ndaani mama alishaanza kumtenga baba wakati anataka ubunge viti maalum 2000 na mzee hakutaka aingie kwa siasa
Sasa swali la mleta mada hujalikidhi katika maelezo yako, alikuwa married au divorsed?
 
Hakuwa Engineer ila Mhasibu ameajiriwa TANROADS RUVUMA. Wengi wetu tunajua ukifanya kazi TANROADS basi wewe ni Engineer. Barabara ya Songea - Mbinga (kipande Cha Kuanzia njia panda ya kwenda Peramiho), kilijengwa na WESONS T LTD na sio KAJIMA. Karibu kwetu Matarawe.
 
Hakuna mwanamke wa kufika hatua za kina jenista halafu aendelee kuwa na mwanamume,

Wanawake ni viumbe waajabu,huoni hata Samuya hawako pamoja na mumewe
Acha uongo huyo samuya unayemtaja yupo na mumewe,na kumbuka huyo mume wa samuya ana wake 2 na unaposema hayko na mumewe,huo uongo unakusaidia nini?
 
Acha uongo huyo samuya unayemtaja yupo na mumewe,na kumbuka huyo mume wa samuya ana wake 2 na unaposema hayko na mumewe,huo uongo unakusaidia nini?
Mkuu Mumewe sababu ya protocols tu,sawa na magufuli alivyokuwa na mama janeth,it was because of the protocol
 
Hivi wewe uliyeleta mada una ndia?Jama unayo,je haina changamoto?Kwanini usijali mambo yako
 
Kama ni mambo binafsi wasingekuwa wanaombwa hizo taarifa kwenye ofisi za umma!!
 
Mwanamke awe mwanasiasa then adumu na mumewe , thubutuuuu

Maana Kila hatua anayo taka kupiga lazima avuliwe Pichu ,

Yaani kama wapo ni wachache sana na nilazima wanaume wao wawe ni wapumbavu
 
Yaani mtu kutwa yuko safari za kikazi ,analala hotelini hyo mume wa nini?

Mwanamke ana shida ya watoto sio mume kama anao uwezo ..Mtu yuko wizarani kama wazir au naibu na kuhusu safari za kikazi anapanga yeye ; hizo safari zina pesa kwa nn asiweke mlolongo mrefu.

Wanaume wa zamani waliweza kudhibiti wanawake kutokana na kuwasoma akili zao ila sasa wanaume wanaburuza..
 
KWA MAZINGIRA YA SASA GEN Z WAKITANGAZA MAANDAMANO HATA KAMA HAWATAFANYA, VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA LAZIMA VIWEKE LOCK -DOWN.

KUWEKA LOCK-DOWN MAANA YAKE NI KUKWAMISHA SHUGHULI NYINGI ZA KIUCHUMI; UTALII UNADORORA ZAIDI, BANDARI KUNASIMAMA, USAFIRI WA ANGANI NA ARDHINI UNADORORA ZAIDI NA MAPATO YA SERIKALI YANAPUNGUA.
 
Sasa swali la mleta mada hujalikidhi katika maelezo yako, alikuwa married au divorsed?

Hakuwa Engineer ila Mhasibu ameajiriwa TANROADS RUVUMA. Wengi wetu tunajua ukifanya kazi TANROADS basi wewe ni Engineer. Barabara ya Songea - Mbinga (kipande Cha Kuanzia njia panda ya kwenda Peramiho), kilijengwa na WESONS T LTD na sio KAJIMA. Karibu kwetu Matarawe.
Aaante kwa marekebesho mkuu na wewe karibu karibu mnara wa voda mjimwema hapa
 
Woooi! Naona umeishiwa! Nenda kaungane naye basi kama unampenda na kumlinda sana mpendwa wako. Senzi we!
Sisi sote ni marehemu watarajiwa, wewe pia utakufa tena huwezi jua kifo chako kinaweza kua cha kidhalili, omba mwisho mwema usipende kusimanga marehemu ya kwako huyajui, kubwa zima hovyooooo!
 
View attachment 3515665
Katika kusikiliza wasifu wa marehemu Jenista Mhagama (RIP), sikusikia jina la mumewe. Niliona watoto wake watano, nilisikia majina ya baba na mama yake. Wapi mume. Siulizi kwa uchimvi bali kutaka kuonyesha aina ya viongozi tunaoletewa bila kuruhusu kujulikana historia sahihi za maisha wala ukweli kuhusiana na maisha. yao. Si tunaambiwa viongozi ni kioo cha jamii. Je, huyu bi mkubwa alikuwa ameolewa, ameachika au nunga embe?

Mume wake aliitwa somebody Mhagama alifariki miaka kadhaa iliyopita,
 
View attachment 3515665
Katika kusikiliza wasifu wa marehemu Jenista Mhagama (RIP), sikusikia jina la mumewe. Niliona watoto wake watano, nilisikia majina ya baba na mama yake. Wapi mume. Siulizi kwa uchimvi bali kutaka kuonyesha aina ya viongozi tunaoletewa bila kuruhusu kujulikana historia sahihi za maisha wala ukweli kuhusiana na maisha. yao. Si tunaambiwa viongozi ni kioo cha jamii. Je, huyu bi mkubwa alikuwa ameolewa, ameachika au nunga embe?
Itakusaidia nini mkuu? Hata kama hakuwa na mume bado Mungu alimpa Neema ya watoto watano wenye afya tele, kwani kuna wangapi walikuwa na waume au wake na leo ni WAgane au wajane
 
Back
Top Bottom