Jenista Mhangama aliwahi kuolewa?

Jenista Mhangama aliwahi kuolewa?

Yea
View attachment 3515665

Katika kusikiliza wasifu wa marehemu Jenista Mhagama (RIP), sikusikia jina la mumewe. Niliona watoto wake watano, nilisikia majina ya baba na mama yake. Wapi mume. Siulizi kwa uchimvi bali kutaka kuonyesha aina ya viongozi tunaoletewa bila kuruhusu kujulikana historia sahihi za maisha wala ukweli kuhusiana na maisha. yao. Si tunaambiwa viongozi ni kioo cha jamii. Je, huyu bi mkubwa alikuwa ameolewa, ameachika au hakuwahi kuolewa?
Yeah Mr Mhagama alikuwa mfanyanyakazi wa wizara ya ujenzi mkoa pale songea namkumbuka alikuwa mtu poa sana
 
Mwanamke awe mwanasiasa then adumu na mumewe , thubutuuuu

Maana Kila hatua anayo taka kupiga lazima avuliwe Pichu ,

Yaani kama wapo ni wachache sana na nilazima wanaume wao wawe ni wapumbavu
Duh
 
View attachment 3515665

Katika kusikiliza wasifu wa marehemu Jenista Mhagama (RIP), sikusikia jina la mumewe. Niliona watoto wake watano, nilisikia majina ya baba na mama yake. Wapi mume. Siulizi kwa uchimvi bali kutaka kuonyesha aina ya viongozi tunaoletewa bila kuruhusu kujulikana historia sahihi za maisha wala ukweli kuhusiana na maisha. yao. Si tunaambiwa viongozi ni kioo cha jamii. Je, huyu bi mkubwa alikuwa ameolewa, ameachika au hakuwahi kuolewa?
Mara nyingine ama tuseme,, mwanasiasa na ndoa wapi na wapi.

Wengi wa wanasiasa ama hawana ndoa imara, ama hawana ndoa kabisa. Na wanawake ni wahanga zaidi.
 
Kwa yanayoendelea Tanzania ni bora nchi ipigwe tu mnada tugawane pesa kila mtu afe na chake!.
Kama mali zipo na hatupati kitu wakipiga mnada watagawana wao na kusema sisi ni Walowezi kutoka Somalia unatolewa kwenye mgao.
 
Hii ni fasheni, kuna majimama mengi tu hayana waume ila yana watoto. Mengine ni manasiasa, mafanyabiashara, masomi, majariamali na manaharakati. Haya majimama yanayoishi bila mume ndio machochezi ya usingo maza
Wengine ndoa zilikuwa ngumu,walikuwa cheated,abused and everything dirty, ulitaka wafanyaje, don’t judge!
 
Kwani samuya zaidi ya kikwekwe anaye?
20251129_212754.jpg
 
Back
Top Bottom