Hapana; hayo ni mambo yanayotakiwa kufahamika kwa waTanzania; kujuwa viongozi wao wako vipi.Hayo ni mambo yake binafsi
Unapokuwa kiongozi, mambo kama hayo siyo binafsi tena.
Hapana; hayo ni mambo yanayotakiwa kufahamika kwa waTanzania; kujuwa viongozi wao wako vipi.Hayo ni mambo yake binafsi
Unawaonea wanawake. Binadamu hata wanyama, wote ni wabinafsi kwa asili.Wanawake ni wabinafsi sana, wanawatumia wanaume kama nyenzo tu , wakishatoboa ... mwanaume tupa kule ...
Ukishakuwa public figure hakuna tena mambo binafsi, unamulikwa na tochi kwa kila unachofanya...Hayo ni mambo yake binafsi
Hahaha 😂🤣😂Hii ni fasheni, kuna majimama mengi tu hayana waume ila yana watoto. Mengine ni manasiasa, mafanyabiashara, masomi, majariamali na manaharakati. Haya majimama yanayoishi bila mume ndio machochezi ya usingo maza
Kwa lilivyoelezwa kwenye wasifu wake, hapana, ni la wazazi wake. Maana, halikutajwa la baba yake.The Father of All, hili jina na Mhagama ni la Marehemu Mumewe. Alishatangulia mbele za haki miaka zaidi ya 20 Sasa kama alidokeza Pulchra Animo. Alikuwa mtu mwungwana sana unapokutana nae. Wote wapumzike kwa AMANI.
Jibu ushalipata haya kamalizie kiporo chako cha wali na kabichi ushushie na maji ya baridi ujipepee, huenda chuki yako kwa wanawake itapunguaKwanini hawakulitaja hili? Maana, nijuavyo, kama mwanandoa akifariki au mtoto, bado huendelea kuwa sehemu ya familia posthumously.
Ni kweli japo umeandika utopolo na ulazimishi wa hoja. KaribuJibu ushalipata haya kamalizie kiporo chako cha wali na kabichi ushushie na maji ya baridi ujipepee, huenda chuki yako kwa wanawake itapungua
Pyeeeeeee ulipanga kumsimanga marehemu umezodokaNi kweli japo umeandika utopolo na ulazimishi wa hoja. Karibu
Kuna nafasi kwenye nchi ukishika, unakuwa sio binafsi tena..Watz mnapenda kujadili Sana watu badala ya mawazo au ideas.
Mambo binafsi ya MTU hayo
Nyooooo! Ni mawazo na hisia zako. Nimsimange marehemu ili ajibu vipi.Kama ni kusimanga, nimewasimanga marehemu nyinyi.Pyeeeeeee ulipanga kumsimanga marehemu umezodoka
Wasifu niliusikia. Unakumbuka "Ukoo wote wa Ngonyani na Mhagama"? Nikufahamishe nakumbuka vizuri bàadhi ya magumu aliyopitia Mzee Mhagama miaka hiyo. Usitake tuseme mengi. Uliomba kujua tumekusaidia lakini unaonesha una lako jamboKwa lilivyoelezwa kwenye wasifu wake, hapana, ni la wazazi wake. Maana, halikutajwa la baba yake.
Na yule mzee huwa anatambulishwa ni mme wa mapambo?Hakuna mwanamke wa kufika hatua za kina jenista halafu aendelee kuwa na mwanamume,
Wanawake ni viumbe waajabu,huoni hata Samuya hawako pamoja na mumewe
Hilooooooo aibu yako, mada uliyoileta tayari ni kumsimanga marehemu tosha unahoji eti kama alikua 'nunga yembe' ikusaidie nini wewe kwenye maisha yako ya kila siku, kuweni na aibu mnapenda sana kujionesha uduni wa akili na utu mbele za watuNyooooo! Ni mawazo na hisia zako. Nimsimange marehemu ili ajibu vipi.Kama ni kusimanga, nimewasimanga marehemu nyinyi.
Ushaona mwanaume 'akishajipata' anafukuza mke anabakia single?Unawaonea wanawake. Binadamu hata wanyama, wote ni wabinafsi kwa asili.
Kwahiyo wewe unataka kumjua Mme wake ?Kuna nafasi kwenye nchi ukishika, unakuwa sio binafsi tena..
Woooi! Naona umeishiwa! Nenda kaungane naye basi kama unampenda na kumlinda sana mpendwa wako. Senzi we!Hilooooooo aibu yako, mada uliyoileta tayari ni kumsimanga marehemu tosha unahoji eti kama alikua 'nunga yembe' ikusaidie nini wewe kwenye maisha yako ya kila siku, kuweni na aibu mnapenda sana kujionesha uduni wa akili na utu mbele za watu