Jenista Mhangama aliwahi kuolewa?

Jenista Mhangama aliwahi kuolewa?

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
10,959
Reaction score
13,426
1765759102631.png


Katika kusikiliza wasifu wa marehemu Jenista Mhagama (RIP), sikusikia jina la mumewe. Niliona watoto wake watano, nilisikia majina ya baba na mama yake. Wapi mume. Siulizi kwa uchimvi bali kutaka kuonyesha aina ya viongozi tunaoletewa bila kuruhusu kujulikana historia sahihi za maisha wala ukweli kuhusiana na maisha. yao. Si tunaambiwa viongozi ni kioo cha jamii. Je, huyu bi mkubwa alikuwa ameolewa, ameachika au hakuwahi kuolewa?

The Father of All, hili jina na Mhagama ni la Marehemu Mumewe. Alishatangulia mbele za haki miaka zaidi ya 20 Sasa kama alivyodokeza Pulchra Animo. Alikuwa mtu mwungwana sana unapokutana nae. Wote wapumzike kwa AMANI.
 
What can you do about it? Assume ni kweli, what say do you have on it?
There is a lot to say. One, it is about ethicality and morality. We need to know our public servants and rulers for that matter. They are the image of society. We would like to know our rulers who live on our taxes in and out to see to it that we have the creme de creme but not garbage, child.
 
View attachment 3515665
Katika kusikiliza wasifu wa marehemu Jenista Mhagama (RIP), sikusikia jina la mumewe. Niliona watoto wake watano, nilisikia majina ya baba na mama yake. Wapi mume. Siulizi kwa uchimvi bali kutaka kuonyesha aina ya viongozi tunaoletewa bila kuruhusu kujulikana historia sahihi za maisha wala ukweli kuhusiana na maisha. yao. Si tunaambiwa viongozi ni kioo cha jamii. Je, huyu bi mkubwa alikuwa ameolewa, ameachika au nunga embe?
Alifiwa na mume wake 25 years or so ago!
 
Hebu tupe uhondo kuhusiana na samuya kuwa nunga embe. Maana, si wengi tunalijua hili.

There is a lot to say. One, it is about ethicality and morality. We need to know our public servants and rulers for that matter. They are the image of society. We would like to know our rulers who live on our taxes in and out to see to it that we have the creme de creme but not garbage, child.
You are absolutely right, but suppose you know, and you feel it's not right , then what power do you have to change the course ?
 
Back
Top Bottom