Jenista Mhagama mshauri Rais amuondoe Erio NSSF

Jenista Mhagama mshauri Rais amuondoe Erio NSSF

Staff wanalalamika sana wanabaguliwa, safari zote,vyeo vyote wamepewa walotoka nao huko ppf, kuna jamaa yangu alikuwa level ya principal lakini yuko bench maofisa wa kawaida walotoka nao ppf(ambayo ilikuwa imeuawa na viongozi hao walioletwa nssf) ndo wanakuwa juu yake.
Kielimu wamewazidi, kiutendaji pia ila nasikia ndo hawawapendi kabisaa wanasema bora Dau
Mheshimiwa Mhagama, hili dude NSSF litakufia na wewe utakwenda na maji.

Baada ya Dau kuweka miradi ya kifisadi alipoondoka miradi mingi imesimama na ni kwa sababu hajapatikana a right person kuongoza hili shirika.

Fitina Erio aliomfanyia Prof Kahyarara ili yeye achukue nafasi yake tunaijua, ila huyu dogo alikuwa keshaharibu huko PPF akishirikiana na idara ya HR.

Alifika wakati wakawa wanajilipa mamilioni ya pesa kila baada ya miaka miwili, mhasibu mkuu alipotaka kuhoji walimfukuza kazi. Taarifa zipo. Ni huyo Erio aliyumbisha PPF hadi kutaka kufa kabla Rais hujachukua hatua za kuunganisha.

Sasa yaliyoko NSSF kwa Erio yanaanza kutishia uhai wa shirika.

Waziri chip in ujue A&B za NSSF ya sasa.
Mshauri Rais amuondoe. Shauri lako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nssf ilishageuka kama nyumba ya Ibada ya Dini fulani sasa wale wa Dini hiyo waliobebwa ndio wanalia

Sent using Jamii Forums mobile app
Fuatilia vizuri ndugu, huyo mleta mada na supporters wa mleta mada ndio hao hao waliokuwa wamebeba bango juu ya udini wa Dau. Leo ndio hao maji shingoni. Wavaa vipedo wanajua vizuri sana kwamba Dunia ni mapito tena mapito ya upuuzi. Pia wanajua vizuri ubaya wa fitna na siku zote fitna ina kawaida ya kumrudia huyo mfitinishaji. Pambabeni na hali zenu. HAPA KAZI TU
 
Pambafu, nssf ilikua inaenda vizuri huyu Erio ni mwizi aliiba ppf hadi wakashindwa kulipa mafao.
Sasa katemwa rasmi nssf alimfitini Prof. Kahyarara ati mkulazi wameshindwa sasa yeye kafanya nini hadi sasa hakuna kiwanda wala sukari
Nssf ilishageuka kama nyumba ya Ibada ya Dini fulani sasa wale wa Dini hiyo waliobebwa ndio wanalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pambafu, nssf ilikua inaenda vizuri huyu Erio ni mwizi aliiba ppf hadi wakashindwa kulipa mafao.
Sasa katemwa rasmi nssf alimfitini Prof. Kahyarara ati mkulazi wameshindwa sasa yeye kafanya nini hadi sasa hakuna kiwanda wala sukari
Si nasikia erio ni mpwa wa fulani..wataweza kweli kumtoa pale?
 
Duh hatari sana

Hatari hii ilianza zamani kidogo lakini kwa wafuatiliaji wangeanza kwanza kujua yule Irene Isaka wa NSSF na baadae akapelekwa SSRA na mwisho akatemwa sababu ilikuwa nini? mkiweza kutengua fumbo hilo basi mtajua kwanini Erio hana lawama
 
Erio hana cha kufanywa,mjomba wake ni mmoja wa waliopokea tausi juzi.

So he is there to stay.
 
Nichosikia tu kwamba marurupu yote kajirundikia yeye mwenyewe at the expense of other employees. In other words, selfish.
 
Very true, na bado anataka afisadi kama alivyofanya kule ppf, gratuity kila miaka 2
Nichosikia tu kwamba marurupu yote kajirundikia yeye mwenyewe at the expense of other employees. In other words, selfish.
 
Back
Top Bottom