Jenista Mhagama mshauri Rais amuondoe Erio NSSF

Jenista Mhagama mshauri Rais amuondoe Erio NSSF

adobe

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Posts
2,770
Reaction score
1,887
Mheshimiwa Mhagama, hili dude NSSF litakufia na wewe utakwenda na maji.

Baada ya Dau kuweka miradi ya kifisadi alipoondoka miradi mingi imesimama na ni kwa sababu hajapatikana a right person kuongoza hili shirika.

Fitina Erio aliomfanyia Prof Kahyarara ili yeye achukue nafasi yake tunaijua, ila huyu dogo alikuwa keshaharibu huko PPF akishirikiana na idara ya HR.

Alifika wakati wakawa wanajilipa mamilioni ya pesa kila baada ya miaka miwili, mhasibu mkuu alipotaka kuhoji walimfukuza kazi. Taarifa zipo. Ni huyo Erio aliyumbisha PPF hadi kutaka kufa kabla Rais hujachukua hatua za kuunganisha.

Sasa yaliyoko NSSF kwa Erio yanaanza kutishia uhai wa shirika.

Waziri chip in ujue A&B za NSSF ya sasa.
Mshauri Rais amuondoe. Shauri lako.
 
Ulitakiwa uandike matatizo yanayoikabili NSSF ambayo unadhani mkurugenzi huyo ameshindwa kuyatatua. Tatizo mkubwa lililopo sasa ni shirika kushindwa kuwalipa wastaafu malipo yao ya mwezi kwa tarehe inayoeleweka. NSSF inatakiwa iwe wazi kuhusu mafao itoayo na taratibu zilizowazi kwa wachangiaji wa mfuko huo badala ya kuviziavizia.
 
Ni mtoto wa dada yake wa damu Mh. Benjamin Mkapa na hakika yuko hapo NSSF kwa nguvu yake. Mtaimba nyimbo zote na hapo hatatolewa kabisa. Ila nimefurahi eti kuwa alikuwa akiingia list PPF House alikuwa ni yeye tu mfalme hakuna kibaraka wa kupanda nao. Ni Mungu watu huyu. PPF alikuwa na skendo nyingi mno na ninakumbuka mpaka mitandaoni alipitishwa sana ila sema alikuwa kwa namna zote ni kuhakikisha anaweka sawa mambo ili mambo yake yasipate media attention. Mimi simo muulizeni aliyekuwa Mwanahabari!!!!
 
Hivi bado ana ile tabia yake ya kutaka kupanda pekee yake kwenye lift za majengo ya taasisi yake? Akiingia kwenye lift wengine wote mtazuiwa kuingia.
Wewe, ushawai kuona akiwa peke yake kwenye lift?
 
Nimewapa kazi mchunguze
Wape hints otherwise huu utakua unafiki tu. Seeikali sio miungu wajue, wape pa kuanzia ili waanze kazi.

Kwa akili yako fupi unadhani uchunguzi hugundua kila kitu kitu ambacho sio kweli. Unaweza kuchunguzwa sana na usipatikane na hatia huku umefanya kosa kweli.
 
Hivi bado ana ile tabia yake ya kutaka kupanda pekee yake kwenye lift za majengo ya taasisi yake? Akiingia kwenye lift wengine wote mtazuiwa kuingia.
[emoji3][emoji3] Dah kweli kuna mambo
 
Wanaotumbuliwa ni wale wenye familia za WANYONGE tu, akishawatumbua anawasingizia maneno mengi na wanyonge tunawapokea wenzetu kwa makofi na vigelegele, yaani ukirejea vyeti fake na Bashite, tungeacha kuwa wambea acha wayaone wenyewe.
 
Back
Top Bottom