Jenista Mhagama mshauri Rais amuondoe Erio NSSF

Jenista Mhagama mshauri Rais amuondoe Erio NSSF

Miradi ya haya mashirika ingeachwa imalizike. Haya mashirika yaliwekeza sana Dae kuhamia Dom kumesababisha hasara ambayo hawataisahau maisha
Waliwekezs kinyume na sera ya serikali ya miaka mingi. Kama wangekuwa na akili vizuri hata ile dege eco village ilitakiwa ndio iwe dodoma. Waliwekeza kwa kutumia akili zao bila kuangalia policy and political issues. Hata hivyo, kwa ujumla Dr. Dau na Mchechu wamejitahidi sana, binafsi sitajui madhaifu yao and I have no negative comment about them
 
Ingependeza Raisi wa wanyonge aingilie hili jasho la wafanyakazi wakistaafu au wakiachishwa walipwe stahiki zao na sio kutunisha vitambi vya akina erio.

Pesa za mafao no jasho Halali la mfanyakazi anapokuwa Hana kazi asizungushwe apewe chake huo ndio uzalendo hakina blah blah ingine unaweza ikaeleweka juu ya mafao no kulipwa tuu Wala wafanyakazi wasisumbuliwe Kila kitu Kiko kwenye mitandao. Mbona Rwanda wameweza tunakwama wapi na ma Masters yetu viongozi vitambi na mav8 yanaunguruma masuti makali.
 
Naona kuna watu wanajitoa akili humu, hata kama umeajiriwa humo hili shirika perfomance yake inazingua, just assume watu waruhusiwe tu fao la kujitoa kwa muda mfupi ndio utaelewa.
 
Minets mtupu, umekaa chini kuandika upupu mtupu, raslimali muda uliyotumia, ungekuwa umetumia kulima bustani uwani kwako, ungekuwa umeingiza pesa, CHAPENI KAZI MAJUNGU HAYATAKUSAIDIA KUPUNGUZA UMASKINI WAKO
Mheshimiwa Mhagama, hili dude NSSF litakufia na wewe utakwenda na maji.

Baada ya Dau kuweka miradi ya kifisadi alipoondoka miradi mingi imesimama na ni kwa sababu hajapatikana a right person kuongoza hili shirika.

Fitina Erio aliomfanyia Prof Kahyarara ili yeye achukue nafasi yake tunaijua, ila huyu dogo alikuwa keshaharibu huko PPF akishirikiana na idara ya HR.

Alifika wakati wakawa wanajilipa mamilioni ya pesa kila baada ya miaka miwili, mhasibu mkuu alipotaka kuhoji walimfukuza kazi. Taarifa zipo. Ni huyo Erio aliyumbisha PPF hadi kutaka kufa kabla Rais hujachukua hatua za kuunganisha.

Sasa yaliyoko NSSF kwa Erio yanaanza kutishia uhai wa shirika.

Waziri chip in ujue A&B za NSSF ya sasa.
Mshauri Rais amuondoe. Shauri lako.
 
Kweli tupu huku mtandaoni alilindwa sana. Ila ni mtu wa hovyo hana uwezo wa kuongoza nssf dude kubwa sana
Ni mtoto wa dada yake wa damu Mh. Benjamin Mkapa na hakika yuko hapo NSSF kwa nguvu yake. Mtaimba nyimbo zote na hapo hatatolewa kabisa. Ila nimefurahi eti kuwa alikuwa akiingia list PPF House alikuwa ni yeye tu mfalme hakuna kibaraka wa kupanda nao. Ni Mungu watu huyu. PPF alikuwa na skendo nyingi mno na ninakumbuka mpaka mitandaoni alipitishwa sana ila sema alikuwa kwa namna zote ni kuhakikisha anaweka sawa mambo ili mambo yake yasipate media attention. Mimi simo muulizeni aliyekuwa Mwanahabari!!!!
 
Huyu dogo mlinzi wake ni mjombae, Mr Mkapa.
Ila hana uwezo wa kiuongozi labda ampe ujaji ila nssf ataiua kama ppf
Mheshimiwa Mhagama, hili dude NSSF litakufia na wewe utakwenda na maji.

Baada ya Dau kuweka miradi ya kifisadi alipoondoka miradi mingi imesimama na ni kwa sababu hajapatikana a right person kuongoza hili shirika.

Fitina Erio aliomfanyia Prof Kahyarara ili yeye achukue nafasi yake tunaijua, ila huyu dogo alikuwa keshaharibu huko PPF akishirikiana na idara ya HR.

Alifika wakati wakawa wanajilipa mamilioni ya pesa kila baada ya miaka miwili, mhasibu mkuu alipotaka kuhoji walimfukuza kazi. Taarifa zipo. Ni huyo Erio aliyumbisha PPF hadi kutaka kufa kabla Rais hujachukua hatua za kuunganisha.

Sasa yaliyoko NSSF kwa Erio yanaanza kutishia uhai wa shirika.

Waziri chip in ujue A&B za NSSF ya sasa.
Mshauri Rais amuondoe. Shauri lako.
 
Umeandika haraka haraka sana.Tafadhali elezea kwa undani hoja yako.
Mkuu taarifa zinazokuja humu haziwezi kuwa so analytical, sometimes mtu anatoa in summary pending further investigations.

Ila nssf ya sasa ni kama haipo, pamoja na madudu meeengi ya Dau, ila mhhh, Jpm anajua afanyeje maana sii kwa mafao wala sii kwa miradi.
Kusimamisha miradi means unaongeza garama utakapokuja kuiendeleza.Sasa je wanafanya cost benefit analysis na future value for money?na sii kumaliza tu bali mradi ukiisha mapema, mfano mwanza hotel yanssf means ingeanza kupokea wageni na:1tungepata hela za kigeni,2.kuvutia utalii ktk kanda hyo ila pia hela zingeanza kurudi.
Sasa viongoz wanaishia kuacha majumba yakaliwe na mapanya na majoka.NONSENSE
 
Ni mtoto wa dada yake wa damu Mh. Benjamin Mkapa na hakika yuko hapo NSSF kwa nguvu yake. Mtaimba nyimbo zote na hapo hatatolewa kabisa. Ila nimefurahi eti kuwa alikuwa akiingia list PPF House alikuwa ni yeye tu mfalme hakuna kibaraka wa kupanda nao. Ni Mungu watu huyu. PPF alikuwa na skendo nyingi mno na ninakumbuka mpaka mitandaoni alipitishwa sana ila sema alikuwa kwa namna zote ni kuhakikisha anaweka sawa mambo ili mambo yake yasipate media attention. Mimi simo muulizeni aliyekuwa Mwanahabari!!!!
Hapa hakopeshwi mtu. Mwaga chenga zote tuzisome.
 
Dau,Mafuru,Msechu hakuna mbadala wao!Taasisi walizokua wanaziongoza zimekufa kifo cha mende muda sii mrefu zitakua omba omba.
Erio chaguo la Mkapa yupo hapokwa nguvu ya mkapa
Yes , na hakuna wa kumgusa
 
Hivi bado ana ile tabia yake ya kutaka kupanda pekee yake kwenye lift za majengo ya taasisi yake? Akiingia kwenye lift wengine wote mtazuiwa kuingia.
huyu bwana kumbe ni mpumbavu kiasi hiki
 
Tuache porojo bhana huyo jamaa ni miongoni mwa miungu watu afatiliwe tafadhaki
 
Enzi ya Dau douments ukikabidhi ndani ya wiki 2 tuu kama.pesa nyingi unaingiziwa kwenye account bank kama sii nyingi unaenda kuchukua cheque nssf.Fao la kijitoa hilo
 
Duh mijitu myeusi ikipata vyeo shida sana
Hivi bado ana ile tabia yake ya kutaka kupanda pekee yake kwenye lift za majengo ya taasisi yake? Akiingia kwenye lift wengine wote mtazuiwa kuingia.
 
Back
Top Bottom