Jenista Mhagama Aanguka

Status
Not open for further replies.
JAMANI HUKO SIO KUANGUKA NI
KUGALAUKA!
mtuwache na shukrani zetu!
cc platozoom
 
Last edited by a moderator:
Masikini Jenista wa Watu, ni mapepo tu. Amntafute mchungaji Gwajima amsaidie. Ukimwangalia usoni unaona mapepo, sijui hawa manabii wa siku hizi vipi?
 

So what? Sioni hoja ya maana hapa.
 
Jamani msameheni bure Mama Jenista Mhagama, hana mme huenda atakuwa alipa HYSTERIA/MNEPO.

Kinana alitakiwa kujiongeza mwenyewe.
 
Kugalagala ni moja ya staili ya kucheza wangoni.
Nilishuhudia kwe harusi, hata kuna siku Nape alishuhudia wanawake wakigalagala kihasarahasara mbele yake.
 
sasa nani tumwamini hapo alokuwepo tukioni na aloona kwa runinga....mctuweke mabwege tafadhali...MTOTO WA NYOKA NI NYOKA tuuuuuuuu...:smile-big:
 
kwanini hukumkimbiza? yaani mama anakushinda! ah
 
Haya ndiyo matatizo ya kuvutiabbangi chooni kila kitu kudanganya tu hata kama kipo wazi hakuna mbunge wa ccm hata mmoja mwenye kisukali kama wazee wenu wa cdm.

Kuna Wenye ukimwi tuu...wcha uongo wabunge wengi wana magonjwa tena yasiyotibika tutaweka ripoti hapa
 
 
yule mama si hana mume? labda alikuwa nantafuta wa kumuonea huruma kutoka kundi la wageni. si unajua mzee wa tembo alikuwapo
 


Mimi huwa napenda kuangalia mbali zaidi ya urefu wa pua yangu.

Hivi huyu sister wa kikatoliki angeanguka na kugalagala mbele ya Dr. Slaa, katika mkutano wa CDM. Leo magazeti ya UHURU, JAMBO LEO, HABARI LEO yangeandika nini?

Mimi sio Sheikh Yahaya, lakini naombe GTs tujiulize ili, kubaini propoganda zinazopigwa na CCM kuhusu UDINI WA CDM!
 



Umezungumzia ngoma za wilaya ya Mbinga zaidi, na labda Tunduru ambako sijawahi kufika. Ngoma kuu ya Wangoni ni Kitoto/Lizombe na vile vile kuna nyingine nadhani inaitwa Ligwamba. Wandendeule nao wan ngoma zao, hasa kwa wanawake.

Mimi sipendi kuzungumzia ngoma aliyocheza Mh. Jenista Mhagama. Hata hivyo siku hizi wanasiasa wetu huingia kucheza ngoma yeyote kama wanavyoingia kwenye nyumba za ibada zilizo tofauti na imani yao.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…