Jenista Mhagama Aanguka

Jenista Mhagama Aanguka

Status
Not open for further replies.

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
Punde nilikua naangalia taarifa ya habari TBC, anaoneshwa Mbunge wa Peramiho baada ya kuhutubia akiwa anagagaa chini huku nguo zimetapakaa vumbi na nyasi, japokuwa wameonesha picha tu bila maelezo yummkini Mh huyu ameanguka kwa jinsi alivyoonekana kuchafuka chapa chepe na baada tu ya kugundua picha zinamchukua akatimua mbio

My take

TUTAANZA KUSIKIA HABARI ZA NDUMBA HAPA

TBC Taifa Taarifa ya Habari saa 2.00 usiku (20/11/2013)
 
Mkuu ngoja watu walioko huko alikokuwa
anahutubia watakuja kuijazia mashiko thread yako maana kwasasa km haitoshi
 
Naye bila shaka analindwa na majeshi ya mapepo kama mkuu wao!
 
Hahahaaaaa akatimua mbio?? Au labda alikua anafanya kama alivyowahi kufanya Mbunge Fulani Kule bungeni usiku. Sijui anaitwa nani?

mkuu alibilingita kushoto kulia kisha akaamka na kusepa kwa kasi kijani yote imetapakaa vumbi jekundu la wakunyumbi na nyasi kavu za pale chini
 
Punde nilikua naangalia taarifa ya habari TBC, anaoneshwa Mbunge wa Peramiho baada ya kuhutubia akiwa anagagaa chini huku nguo zimetapakaa vumbi na nyasi, japokuwa wameonesha picha tu bila maelezo yummkini Mh huyu ameanguka kwa jinsi alivyoonekana kuchafuka chapa chepe na baada tu ya kugundua picha zinamchukua akatimua mbio

My take

TUTAANZA KUSIKIA HABARI ZA NDUMBA HAPA

TBC Taifa Taarifa ya Habari saa 2.00 usiku (20/11/2013)
Mkuu katika wambea wewe wa kwanza kwa nini mnapenda kuongopa kweli bavicha ni janga sugu la wazawa .

mhagama alikuwa anacheza ngoma ya jadi ya mkoa huo huku akishangiliwa na mezaa kuu wewe unasema kaanguka kweli wewe kituko tangu mnyika awafundishe kusema uongo kila kitu mnadanganya na kugeuza mambo.
 
Mkuu ninasema nilichpona kwa macho, ngoma alikua akiimbisha akiwa jukwaani, wakakatiza akaonekana yuko chini anagalagala na vumbi na hata body language inaonesha kwamba kwa tukio la pili haikua ngoma tena, nina wasiwasi kama wewe ndiye mbeya unatetea usichojua
Mkuu katika wambea wewe wa kwanza kwa nini mnapenda kuongopa kweli bavicha ni janga sugu la wazawa .

mhagama alikuwa anacheza ngoma ya jadi ya mkoa huo huku akishangiliwa na mezaa kuu wewe unasema kaanguka kweli wewe kituko tangu mnyika awafundishe kusema uongo kila kitu mnadanganya na kugeuza mambo.
 
hawatiii mguuu kwenye huu uzi
Kwani kuna nini cha ajabu hapa mhagama alikuwa anacheza ngoma mbele ya mgeni rasmi ilipokuwa mezaa kuu halafu mwehu mwenzenu anawadanganya eti kaanguka bavicha ni janga sugu la wazawa.
 
kumbe walikua sahihi kusema Simiyu yetu atakuja kupindua hapa, lakn wadau naeleza nilichoona kwa macho na huenda mwingine aliyeona aje kushuhudia
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom