Jenifer Kyaka.

Ha ha haaaaaaaa! Huyu ndio Madame B ukimwoma mwingine fake! Kwi kwi kwiiii! Madame B huishi kunifurahisha maana huwa haukopeshi wala nini! Sometimes majibu yako huwa yananifikirisha sana. Msaidie mwenzio. Lol!

Shoga angu, haya majanga.
Mie siwezi ati!
Kwanini Pesa apeleke kwa Odama wakati mie mwenyewe nina dhiki mpaka makalioni?
mwaJ, we acha tu.
 
Last edited by a moderator:
Nafasi bado zipo, karibu.
Nyie wakristu mnasema 'kikombe kinipitie ila mapenzi yake yatimie...' na hivyo hivyo nafasi hiyo ipitie mbali maana waliappy ni wengi na kama bado ipo itakuwa unaajiri wakumasaji wengi. Hiyo ni hatari maana kila mtu na mkono wake tofauti na mwingine. Mwingine inchi 9 mwingine inchi 12 (rula moja) na wengine vibamia tutaona aibu. Afadhali nikubali kuwa wewe utakuwa maji marefu. asante kwa ofa iliyonishinda mwenyewe mchana kweupe baada ya Obama kusepa.
 

kumbeee
 
Shoga angu, haya majanga.
Mie siwezi ati!
Kwanini Pesa apeleke kwa Odama wakati mie mwenyewe nina dhiki mpaka makalioni?
mwaJ, we acha tu.

Tatizo hajakuzimikia wewe shosti! Ila anajua umuhimu wako ili kufanikisha lengo lake! Lol!
 
Wasiliana na Musa Banzi nasikia huwa anamgegeda.
 
Mshikaji kapagawa na makeup !
Dah kaz ipo !
 
Siwezi kukutongozea mwanamke mwenzangu wakati mie mwenyewe nakutaka na ninauwezo wa kukupelekesha puta kitandani vile vile Majaribu2013.
Mi ndio maana naipenda sana JF esp MMU ila kuhusu aliyeleta mada humu hajaelewa kuwa kuna wengine humu tuna allergy na hizo shoutin.... no am sorry bongo movie
 

Hayatuhusu. This is your private business.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…