Jenifer Kyaka.

Best hawa ndio aina ya wale wanaume, wasione avatar nzuri hapa....utaliona hilo mbiombio na miudenda yake breki ya kwanza PM...

ni sawa nakusubiri embe lidondoke kwenye mti wa mbuyu labda kunguru akuibie sehemu la sivyo nenda bafuni na sabuni yako yakipande mvuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuute mpigie bao zake 2 au 3 nenda kalale usituchoshe .
 
Hakuna kitu kinaitwa mapenzi hapa...ungelikuwa unayajua mapenzi usingeandika kuwa nia yako ni kumt.omba tu walau mara moja...
Hivi unafahamu thamani ya mwanamke wewe? au basi tu umeamua kujiwehusha....???

asante mwalimu wa maisha ila utanisamehe kidogo maana hapa nipo kwenye mapenzi tukutane kwenye maisha mtaani
 
Hakuna kitu kinaitwa mapenzi hapa...ungelikuwa unayajua mapenzi usingeandika kuwa nia yako ni kumt.omba tu walau mara moja...
Hivi unafahamu thamani ya mwanamke wewe? au basi tu umeamua kujiwehusha....???

kimekuuma sana
 
Tatizo hyu dada ana msimamo wake na maisha,yupo kwenye sanaa kwa ajili ya kazi tu,sio umalaya kama hao wengine na ndo maana aandikwi sana kwenye.magazeti na wengi hawamjui coz hana scandal japokuwa ni mzuri sana kwa kweli ana mvuto,sema ndo hvyo aendekez chini baba,kama kuigiza mtafute hayo mengine sahau
 
Siwezi kukutongozea mwanamke mwenzangu wakati mie mwenyewe nakutaka na ninauwezo wa kukupelekesha puta kitandani vile vile Majaribu2013.
Ha ha haaaaaaaa! Huyu ndio Madame B ukimwoma mwingine fake! Kwi kwi kwiiii! Madame B huishi kunifurahisha maana huwa haukopeshi wala nini! Sometimes majibu yako huwa yananifikirisha sana. Msaidie mwenzio. Lol!
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha umbea huu hasa ukipiga na ..... Unannga sana

Ngoja niongee na Dida wa Times FM akuwekee wimbo flani hivi wa twaarab...

BTW Jungu tunavunja lini?
 
My question goes from both of you.
Who is Jenifer Kyaka?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…