Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 950
- 1,050
umeona eeI see
Ni stage ya kukua tu.
Wengine wanamuwaza Malia wengine baba yao Obama, mradi vurugu tu
ndio nani huyu?
nilikuja mbio nilijua jenifèr nyamitako↲
ndio nani huyu?
Siwezi kukutongozea mwanamke mwenzangu wakati mie mwenyewe nakutaka na ninauwezo wa kukupelekesha puta kitandani vile vile Majaribu2013.
View attachment 100674Jamani, hili ni jaribu langu huu mwaka, nampenda sana huyu binti/mama haijalishi awe ameolewa au hajaolewa ila kiukweli huwa silali hata nikiona movie yake. Siku hizi nikiona tu kwenye movie jina lake linapita nabadili channel, kwenye facebook niliblock.
Kiukweli nampenda kiasi huwa nawaza kwenye 6:6 yaani sijui nitazimiaje duh!
Jeni kama umo humu mimi nakupenda sana angalau mara 1 tu, ukweli sina hata pesa za kukulipa sina, ni mbeba box tu wa mjini, sina pesa ya kukulipa ila sitakuomba nauli wala vocha, vipi? aisee kama unalikubali ombi langu nipm jaman yaaani. mengine nitakueleza chumbani
==============
update
miaka yangu 25
angejua dada ulivomuua bafuni angejuta kukufahamu..
huyu anaitwa odama
acha basi jaman utaweza wewe. hizi kazi mtuachie tu wengine kama tulivyozaliwa
hahahahahahaha:glasses-nerdy::madgrin:
mwigizaji Bongo movie
acha basi jaman utaweza wewe. hizi kazi mtuachie tu wengine kama tulivyozaliwa