mwana wa africa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 548
- 128
litakuwa kuliko mnazi eeh!
Mkuu, hilo ni jengo sio mnara. Ukiwa floor za juu ni kama uko kwenye ndege.
Nimekuwekea link uangalie, pia waweza ku gooole burj khalifa
Mkuu vipi unautani na watu wa Newala?hilo jengo lipo Newala
Nasikia walijengewa na Big BenMkuu vipi unautani na watu wa Newala?
Teh teh teh!unaongelea Newala ya Mtwara au sehemu nyingine nje ya Tanzania?Nasikia walijengewa na Big Ben