Jengo la Tanesco Ubungo lifanywe Hostel za wanachuo

pilau

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
1,594
447
Siwezi kujua lengo la shirika la umeme Tanesco kuhusu jengo lao lililoko Ubungo jirani na daraja la Kijazi. Lakini kwa muonekano kwa nje Ni Kama halitumiki.

Kwa kuwa serikali ya AWAMU ya sita iko katika safisha safisha ya baadhi ya madudu yaliyoonekana yanazingua nchi na wananchi wake

Basi nashauri jengo Hilo lifanyiwe ukarabati na kupewa chuo kikuu udsm na kuwa hostel ili kupunguza uhaba wa makazi kwa wanachuo mbalimbali
 
Yapo majengo mengi yalokuwa ofisi za serikali ama watu/taasisi binafsi, wakandarasi wayafanyie tathimini ili kuona ka yanafaa kutumiwa kwa shughuli nyinginezo
 
Siwezi kujua lengo la shirika la umeme Tanesco kuhusu jengo lao lililoko Ubungo jirani na daraja la Kijazi. Lakini kwa muonekano kwa nje Ni Kama halitumiki.

Kwa kuwa serikali ya AWAMU ya sita iko katika safisha safisha ya baadhi ya madudu yaliyoonekana yanazingua nchi na wananchi wake

Basi nashauri jengo Hilo lifanyiwe ukarabati na kupewa chuo kikuu udsm na kuwa hostel ili kupunguza uhaba wa makazi kwa wanachuo mbalimbali
Lile jengo, wakati linabomolewa, lazima limepata athari... Designed structure, ukiibomoa wakati imeshajengwa, lazima ipate athari
 
Back
Top Bottom