mkuu uhusiano upo wamefunga mitambo ya tekno hamaMamii pana mahusiano yoyote kati ya TPA na tekno hama? ..... mana naona majibu mengi yasema tpa
i dont know what i mean we elewa tu hivyo hivyo akili yako itakavyokuongozaDo you mean jengo ni la tpa but mitambo ilofungwa ndo tekno hama?
Sio BASHITE PLAZA kweli??Joseph Kabila Tower Mali Ya Mamlaka Ya Bandari Tanzania
40 storeys. Limejengwa kwa 120 BilJe lina ghorofa (storeys) ngapi wakuu?
"Unaona mpaka China" [emoji118] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] nmeipenda hiyo ... so funnyWalisema hapo juu kabisa kutakua na mgahawa" sijui utakua tayari tukasafishe macho
Maana ukiwa hapo juu unaona mpaka China
Drone ioHii kamera yako kiboko