Jengo la ofisi ya CHADEMA Bunda lavunjwa

Jengo limeanguka lenyewe kwa kujengwa chini ya kiwango halafu anasingiziwa Nassari. Dunia hii
 
Huyo ni Joshua Nassari eeh?! Ngoja kiburi yake tutaimaliza, aongee na Sabaya amweleze.
 
Nawasubiri wale waliokua wanasema mama anaiponya nchi waje hapa.
Mama ndiye kabomoa? Yaani jinsi alivyo busy kuijenga upya nchi anawezaje kuhangaika na kakibanda tena vijijini Bunda huko? Siku pakibomolewa Ufipa ndiyo tunaweza kumuhusisha yeye
 
Unajua MaDC Kama hawa dawa Yao NI moja Tu. Kumlaani
 
Mama ndiye kabomoa? Yaani jinsi alivyo busy kuijenga upya nchi anawezaje kuhangaika na kakibanda tena vijijini Bunda huko? Siku pakibomolewa Ufipa ndiyo tunaweza kumuhusisha yeye
Mama anaponya nchi πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
HUU NI UHUNI WA CHADEMA AU CHAGADEMA WANATQAKA KULETA TAHARUKI KWA JAMII WAONEKANE WANAONEWA WANAVUNJA WENYEWE HAKUNA MTU MWENYE AKILI TIMAMU AKAFANYA HUO UJINGA CHADEMA WAHUNI
 
Hata mlivyomla nyama Saanane mlisema hivi hivi.
Na mlipomuua Kamanda Mawazo mlisema hivi hivi.
Mnapoteka watu mnasema hivi hivi.
Mlipomshambulia Lissu kwa bunduki za kivita mlisema hivi hivi.
MBOWE ANAJUWA SAANANE CHACHA WANGWE NA KILA MADHIRA YA CHADEMA MBOWE NI MHUSIKA YAANI ANAJIFANYA KONDOO KUMBE MBWA MWITU SASA HIVI KAPATIKANA ATANYOOKA TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…