Jengo la International House lawakamoto!!

Jengo la International House lawakamoto!!

jengo la international house limewaka moto ghorofa ya pili katika office za standard chartered bank.
attachment.php
mungu awanusuru wafanyakazi
 

Hii gorofa sio yenyewe. Taarifa ilivyotolewa ni kuwa gorofa ya pili ndio linaloungua. Na Internatational house linagorofa zaidi ya 4, sasa inakuwaje liwe hili? Ukiangalia upande wa kulia kwenye hii picha gorafa linaloungua, utagundua kuwa linaungua juu kabisa maana hakuna mwendelezo wa gorofa nyingine juu.
Acheni uongo wa kuokota pic zingine na kuzibandika hapa.
 
Jamani hilo lilikuwa zoezi la kawaida la kujaribu mfumo wa kujikinga/kuzuia madhara wa jengo na kuona kama vyombo vingine vipo makini, hivyo zoezi limefanikiwa. Taarifa hii imetoka kwa Property Manager!
 
hiyo ni fire drill. Hufanyika kwa ajili ya usalama endapo moto utatokea. wafanyakazi hawakujua
 
Jamani hilo lilikuwa zoezi la kawaida la kujaribu mfumo wa kujikinga/kuzuia madhara wa jengo na kuona kama vyombo vingine vipo makini, hivyo zoezi limefanikiwa. Taarifa hii imetoka kwa Property Manager!
Siyokweli Moto umetokea Knight Frank na ulisababishwa na mfanyakazi aliyechoma karatasi na moto kumzidia!Hivyo usipotoshe na ilikuwa Ghorofa ya Tatu siyo ya Pili kama nilivyo report kwani nimetoa uzi huu nikiwa kwenye assembly point kabla ya kujua moto ulikuwa floor gani!!
 
Wameshachukua chao tayari...hii ni balaa....
 
Acheni masihara katika serious inshu ka hizi.Mtu mzima na akili zake anaweka picha ya uongo ya jengo liwalo moto.
 
Aah!nilijuwa unawaka bank nije nisaidie kuzima aagggrrhh poleni mliounguliwa
 
Mara nyingi hutokea moto ila hufanikiwa kuzimwa at its lit stage, coz kuna vifaa very senstive kwa kudetect moto. Ila ya leo ni kubwa kuliko make moto ni mkubwa kwelikweli! Wanavyonisikitisha benki ile ni int'l std ila bado wanashindwa ku-hire caterring services kwajl ya staff wao. Kila siku wanapshana jikoni kuchemsha chai kwa heater. Na ninahsi ndio chanzo cha moto huo. Ni bahati 2nd flow make strong room na central cash vipo ground flow!
mhh umejuaje yote hayo kama na wewe sio staff??!
 
Siyokweli Moto umetokea Knight Frank na ulisababishwa na mfanyakazi aliyechoma karatasi na moto kumzidia!Hivyo usipotoshe na ilikuwa Ghorofa ya Tatu siyo ya Pili kama nilivyo report kwani nimetoa uzi huu nikiwa kwenye assembly point kabla ya kujua moto ulikuwa floor gani!!

poleniii...
 
MARA NYINGI HUWA IKO HIVI...
••••••••••••••• -••••••••••••••• -•••••
Jambazi "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya
kwenu",wote wakalala chini HII INAITWA DHANA YA
USHAWISHI-kubad -ilisha njia ya kawaida ya kufikiria
••••••••••••••• -••••••••••••••• -•••••••
Kuna dada kwa woga akawa amelala chini kimitego,
Jambazi "dada embu kuwa na adabu chukua kanga jifunike hili ni
tukio la ujambazi na sio la ubakaji. HUU UNAITWA WELEDI-zingatia ulichofundishwa - kufanya
••••••••••••••• -••••••••••••••• - •••••••••
Walipotoka kwenye wizi jambazi mdogo ambaye ana shahada ya
uzamili ya biashara akamwambia mwenzake,"tuzih -esabu hizi
fedha,yule mkubwa akamcheka kwa dharau na kumjibu,"wewe
mjinga sana hizo hazina haja ya kuhesabu saa mbili watatutangazia
kwenye taarifa ya habari tumeiba kiasi gani. HUU INAITWA UJUZI-Sikuhizi ujuzi ndio bora kuliko vyeti
••••••••••••••• -••••••••••••••• - •••••••••••
Baada ya majambazi kuondoka meneja akamwambia mhasibu wa
bank, " ujumlishie na zile milioni 80 tulizo iba sisi". HUKU KUNAITWA KUOGELEA NA MKONDO WA MAJI- kushabiihana na mazingira magumu kwa faida binafsi.
••••••••••••••• -••••••••••••••• - ••••••••••••
Mhasibu akafurahi na kusema,"dah wizi ukitokea kila mwezi itakuwa burudani sana.
HUKU KUNAITWA KUWA NA MAWAZO CHANYA-Furaha ndio kitu cha muhimu zaidi
••••••••••••••• -••••••••••••••• - ••••••••••••
Meneja kafurahi sana kwakuwa sasa matatizo yake yametatuliwa na wizi uliojitokeza.
HUKU KUNAITWA KUTHUBUTU-shikilia nafasi pale inapojitokeza hata kama ni hatari kiasi gani
••••••••••••••• -••••••••••••••• - ••••••••••••
Haya usiku wake taarifa ya habari ikatangaza kuwa wizi mkubwa sana
wa millioni 100 umetokea leo benki kuu, Majambazi kuskia hivyo wakaanza kuhesabu zila pesa lakini
wakajikuta na milioni 20 tu. Yule jambazi mkubwa akashtuka na kusema, "dah! yani meneja kaiba mara nne zaidi yetu bila kuchezesha msuli bora umeneja kuliko ujambazi". HII INAITWA ELIMU- ishike sana elimu inanguvu kuliko dhahabu
••••••••

ha ha ha ha! i love it!
 
Back
Top Bottom