kbm
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 5,224
- 1,685
mhh ndo jengo lenyewe kweli,si wamesema floor ya pili?
Moto uko wapi hapo?...!
![]()
Hii itakuwa nyumba ya balozi wa mtaa wakemhh ndo jengo lenyewe kweli,si wamesema floor ya pili?
Hata hizo documents siku hizi sio rahisi kuziharibu, kuna BACK UP tena zaidi ya domain moja kama haitoshi majengo tofauti tofauti.mhh labda dili ya kuchoma documents tu,hela ni chini kule
hapo umenenaHata hizo documents siku hizi sio rahisi kuziharibu, kuna BACK UP tena zaidi ya domain moja kama haitoshi majengo tofauti tofauti.
Duh benki hii si ndio imetumika kulipia IPTL?
Naona watu wanafanya sarakasi lakini moto siuoni hapo
Naona moto utakuwa una-vibrate ndani kwa ndani bado haujatoka nje.Hizi hapa picha lakini niliweka.