Jengo la Ikulu, Chamwino Dodoma

Najivunia hii ikulu nzuri ya nchi yangu.

Hii ni building code ya nchi yangu?

Mungu amlinde Rais anayeishi humo
 
Na mimi sielewi kwanini wamerudia ramani ile ile ya Dar ambayo ilijengwa na mkoloni,ndio kuitangazia dunia hatun uwezo wa kufanya mambo kwa akili zetu wenyewe?
Mkuu kuna kitu kinaitwa IDENTIFICATION utambue hilo kwanza ndio uhoji na pia ni km nembo ya taifa rejea maana ya NENO IKULU ni Nini ndio utaelewa zaidi
 
Kwenye video za kutengeneza za hii ikulu kulikuwa na bustani za wanyama mbalimbali hapo nje,naomba kujua kama hao wanyama tayari wameshawekwa.
Pale Magogoni ikulu ikageuzwa kuwa isolated area ambapo hata kupita pembeni ya ukuta iligeuzwa kosa la jinai. Barabara ya Barack Obama imefungwa imegeuka private road......

Yaani nchi hii raia wamegeuka kuwa adui namba moja wa serikali.

Haya mambo yalianzia kwa JK na baadaye JPM ndo kabisaa hali ikawa tete
 
Wenzetu Kenya wanatuzidi kiuchumi lakini cheki Ikulu yao, simple tu
 

Attachments

  • Ikulu KeNya.jpg
    85.6 KB · Views: 15
Wale wote wenye uchu wa Madaraka,
Wenye tabia za kufuja mali za Umma,
Wasiokua na UZALENDO


Wasipate kabisa nafasi ya kuishi, kukanyaga ndani ya jengo hilo.....mipango yao , mawazo yao...yakawe yanapanguliwa na Mungu , wasiweze kabisa kulifikia.
Una maanisha kuanzia hawamu ya pili mpaka ya tano (kipindi cha kwa na cha pili) wako IKULU kwa kulazimishwa?
Kwa maana hawakuwa na hawana Uzalendo,uadilifu.
 
Wenzetu Kenya wanatuzidi kiuchumi lakini cheki Ikulu yao, simple tu
Ulishasema KENYA, hapa ni Tz Bob!!!! Ni suala la uamuzi tu.

Hata wewe unaweza kuamua kuishi kwenye nyumba ya Tembe , huku jirani Yako akiishi katika nyumba ya masauzi.

Kumbuka sisi ni Matajiri sana kuliko hao kina Makenzi. Hatuwezi kuishi kiboyaboya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…