Jengo la Ikulu, Chamwino Dodoma

Mungu hasikilizi dua za mwenye dhambi.

Just learn such
 

Amen. Mwenyezi Mungu asiruhusu watu wasiofaa waliongoze Taifa letu. Maana wanaweza kuweka pacts zao na shetani. Na kuua undungu na umoja wetu.
Wale ambao wana matumbo yasiyoshiba...wakauza baraka ya uzaliwa wa kwanza kwa bakuli ya ndengu, kama Esau alivyomuuzia Jacob mdogo wake sababu ya kuendekeza njaa
 
Yes
 
Nauliza tu hivi kwanini ikulu nyingi majengo yake hayaendi juu zaidi? Let's say ghorofa 5 na kue delea? Kuokoa eneo kubwa
 
Mama kasema , Airport ya Dodoma ikimalizika, atakua haendi Dar kupokea Wageni. Watakua wanatua hapa Dodoma na ndege zao.
 
Mungu mbariki rais Samia kwa kukamilisha ujenzi huu, na mbariki zaidi Mwalimu Nyerere kwa wazo la kujenga Ikulu pale
 
Kwa sala yote hiyo ndefu, sijaona popote ukifunguka kulaani viongozi mafisadi wanaokengeuka maadili ya viongozi hivi sasa na wapo wanaiba.

Unasema: "wakaogope na kubabaishwa"!

Wepi hao?

Mbona maombi yako ni kama dua la kuku anayeombea vifaranga wake wasikwapuliwe na mwewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…