Jengo la Club Bilicanas limevunjwa.....

Jengo la Club Bilicanas limevunjwa.....

16114489_10155718891017501_4480602597694004307_n.jpg
ni la nhc ........... sio la bilcanas
 
asante kwa sisi tulioko namanyere sumbawanga, tungejuaje limevunjwaje
 
asante kwa sisi tulioko namanyere sumbawanga, tungejuaje limevunjwaje
Sumbawanga sehemu gani mwenzio Niko chanji baada ya kusoma hii habari nimeenda kuangalia na nimerudi salama ila anga siyo nzuri pale nahisi kuna walokole jirani kidogo tuanguke ila hii ungo ya babu ni balaa
 
utani huo kwahawa waswax utaisha lini
 
Ila jamaa alionyesha mfano mbaya sana kwa jamii. Kiongozi wa juu kabisa katika chama halafu hulipi kodi. Hii inatokea Tanzania tu.
Mkuu unalijua sakata lenyewe lilivyo lakini au umeamua kuchangia tu kwasababu ni haki yako..nakushauri ufuatilie kwa ndani sakata lenyewe ninaamini utapata cha kuchangia kizuri zaidi.
 
Watanzania tuna akili za kipuuzi sana,Kama Mbowe ameshindwa kulipa kodi,Ni kwa nini asitafutwe mwekezaji mwingine mwaminifu awekeze alipe kodi?..Hivi kubomoa jengo ndio suluhisho?...Yaani tutabaki kushangilia ujinga tuu usio na maana,na hili ni tatizo kubwa.
Kwahyo limebomolewa kwakuwa Mbowe kashindwa kulipa tozo ya nyumba???!!! Kweli watanzania hatuna akili kabisaaaa.
 
shangaa hapo ni ajira kibao zimepotea
ama labda tengeneza jengo lingine la kisasa zaidi?
Kwahyo nawe uliamini kwamba sababu ya kuvunjwa ni Mbowe kweli? Imewaingiaje akilini kuwaza hivyo wajameni? Hivi Mbowe ni mtu mkubwa sana TZ?
 
Kwa manufaa ya wengi.....sio mtu mmoja
Bills iliajiri watu wangapi? Je ajira hizo zitarejeshwa lini na zitakuwa kiasi gani? Panajengwa nini badala ya bills? Nadhan tukijua maswali haya ndiyo tutajua kama kuna manufaa ya wengi.
 
Sumbawanga sehemu gani mwenzio Niko chanji baada ya kusoma hii habari nimeenda kuangalia na nimerudi salama ila anga siyo nzuri pale nahisi kuna walokole jirani kidogo tuanguke ila hii ungo ya babu ni balaa
hahahahaaaa
 
Back
Top Bottom