Inakukumbusha enzi zile....?
Una fikiri wenye akili kujenga hapo hamna?! Siasa pembeni yale majengo yaliyokuwepo yalikuwa yanaziba nafasi tu.Kubomoa ni kazi ya masaa tu hata ghorofa ni siku chache bali kujenga hata kijumba cha majani inataka muda na akili!
Huyo mwekezaji mwingine kaona awekeze kikubwa na cha kisasa zaidi ili alipe kodi nyingi zaidi.Watanzania tuna akili za kipuuzi sana,Kama Mbowe ameshindwa kulipa kodi,Ni kwa nini asitafutwe mwekezaji mwingine mwaminifu awekeze alipe kodi?..Hivi kubomoa jengo ndio suluhisho?...Yaani tutabaki kushangilia ujinga tuu usio na maana,na hili ni tatizo kubwa.
Ila jamaa alionyesha mfano mbaya sana kwa jamii. Kiongozi wa juu kabisa katika chama halafu hulipi kodi. Hii inatokea Tanzania tu.
shangaa hapo ni ajira kibao zimepoteaWatanzania tuna akili za kipuuzi sana,Kama Mbowe ameshindwa kulipa kodi,Ni kwa nini asitafutwe mwekezaji mwingine mwaminifu awekeze alipe kodi?..Hivi kubomoa jengo ndio suluhisho?...Yaani tutabaki kushangilia ujinga tuu usio na maana,na hili ni tatizo kubwa.
Hakuna kitu kitajengwa hapo,patabaki kuwa parking za jiji tuu na ma dereva taxiHuyo mwekezaji mwingine kaona awekeze kikubwa na cha kisasa zaidi ili alipe kodi nyingi zaidi.
Oh ok.Hakuna kitu kitajengwa hapo,patabaki kuwa parking za jiji tuu na ma dereva taxi