myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,145
viongozi wa juu kabisa ndio wamefikisha tz hapa ilipo.. huyu hakuwahi kuwa serikalini........Ila jamaa alionyesha mfano mbaya sana kwa jamii. Kiongozi wa juu kabisa katika chama halafu hulipi kodi. Hii inatokea Tanzania tu.